Wanawake wote wanaamini kuwa wataolewa na wanaume matajiri, halafu mimi nachekaga tu

Ni kweli mimi nime comments kutokana na huyo mwenye amesema matajiri wanataka bikira that is not true
Mimi naona vijana wengi ambao wanajitafuta yaani apeche alolo ndio wanao hangaika na kupambania bikra ila huwezi kuta mwenye pesa ana hangaika na mambo ya bikra
 
Wanaume matajiri au wanaume wenye uwezo maana sifikirii mtu tajiri akawa anahangaikia mapenzi na waswahili .

Bro being rich is not easy nadhami ulilenga successful man and not rich.
 
Azizi K amewaonyesha mfano kaoa single mama mwenye watoto wawili tena baba tofauti

Nachotaka kusema test ya mwanamke kila mwanaume anayo ya kwake anayoyataka

Kama mlivyo ninyi mnatamani kupata bikra na sisi tunatamani kupata mwanaume asiechit.. Hakuna mwanamke anaependa ku share mume lakini ndio nature imechukua nafasi
 
Bora awe ametunza usichana wake unakuta mdangaji ndo ana target za kuolewa na milionea
 
Aziz K ndio mfano wa matajiri? Halafu umewazungumzia wachezaji, hata huko alipotoka alizalisha akaacha,tunza risit uzuri JF haisahau.Unatamani mwanaume asiyecheat mahali unajitolea mwenyewe? Mwenye maamuzi ya ndoa ni mwanaume na ndio maana yy ndiye huamua awe nani.

Mo kapiga, Yusuph kapiga halafu nenda katizame wake zao? Kamtizame mke GSM, njoo kwa Salah, rudi kwa akina Asas uone kama wameoa wanawame wa hovyo.
 
Siku nikiwa tajiri naoa bikra…..
Kwa hadhi yangu kula makombo ni fedheha kubwa sn.

Unakuta machine imetoka nje km ulimi wa mbwa. Eti nae anasaka tajiri 🤣
 
Upumbavu wa aziz kii sio sababu ya kuhalalisha umalaya wa mobetto. Azizi kii atabaki kuwa mpumbavu na mobetto atabaki kuwa mfano mbaya kwa mabinti wadogo(single maza wa watoto ambao kila mmoja ana baba ake iyo ni sifa chafu sana kwa maadili yetu).

Sawa kila mmoja ana taste yake lakini wanawake huwa mnaishi kwenye fantasy sana, mnapokua kwenye prime yenu mnakua na umrealistic expectation kutoka kwa mwanaume
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…