Wanawake zenu wamenituma na wao wanataka hardcore sio kila siku slow motion

Wanawake zenu wamenituma na wao wanataka hardcore sio kila siku slow motion

wake zenu wanataka muwabinue miguu ifike shingoni, au muwachanue mapaja hadi muone maini, wanataka muwabebe halafu mnawaegemeza ukutani shughuli inaendelea, (kama huna nguvu za kutosha acha hii usije ukamvunja uti wa mgongo akikuteleza), wanataka muwapige vibao vya makalio mkiwa kwenye doggy au frog style, (wengine hata hizo styles hawazifanyi wao ni kifo cha mende akibadili sana ubavu ubavu, boring🥱), muongee, muwaite majina, wengine wanataka muwatukane (sio matusi ya kudhalilisha hapa muwe makini usije ukajikuta kwenye kikao cha familia), kikubwa peaneni heka heka hadi mtanange unaisha mnaombana maji na hamuwezi kusimama miguu inatetemeka,
Ibada yangu ya leo imeharibiwa na hii aya , na sina wa kumlaum. Anyway, hivi vitendo wanafanya freemasons na wachawi sisi tuliokombolewa kwa damu ya mwanakondoo wake zetu wanalala chali tu sisi ndo tunakuwa juu yao tukishughulika.
 
Nimecheka kwa nguvu 😆😆😆😆😆

Wale waliotoka kanisani wakiingia humu wanakutana na hili andiko umejua kuwazodoa na ukiona mtu anarusha matusi ujue inamuhusu imemgusa naona watu wamepata presha wameanza matusi 😂😂😂😂
Wenye vitambi wana hasira hao balaa, leo nikae mguu pande naweza kurushiwa hata chupa uso
 
Halafu ponografia ni maigizo yale hayana uhalisia lakini Mtu mweusi hudhani ni kweli.

Ndio maana tunaendelea kubaki wajinga na uwezo wetu wa kufukiri unazidi kudumaa
Braza Manyanza usiwe mkali, piga zoezi na kula mlo kamili mbona fresh tu heshima unairejesha, msisingizie porn wakati wake zenu ndio wanataka hivyo
 
Hapa nahema kwa nguvu kama nilikua nakimbizwa, nipo kwenye kikao cha wanawake aloo wamejua kufunguka khe!!! kubwa ni huu ujumbe nilopewa niwajuze, sikutakiwa niwaletee sasa hivi maana bado wanafunguka, ila mie na kiherehere changu nimetoka nje kama naenda maliwatoni, nimejibanza kwenye kiukuta, naandika haraka haraka huu ujumbe nisije nikasahau, nakijua kichwa changu jamani,

Sasa basi kwa mlio oa na mlio kwenye mahusiano rasmi, wanawake zenu wamenituma niwaambie na wao wanataka kubinuliwa, kubenjuliwa, kusiginwa, kukandwa, kuendeshwa kama farasi huku mmevuta nywele zao, kung'atwa shingoni na kuwaachia love bites, kiufupi wanapenda hizo heka heka ila wanaogopa kuwaambia na wanashangaa na nyie kwanini hamjiongezi,

Wamelalamika, wanaume mmekua wavivu sana, kimoja tu mkienda sana dakika 2 hapo mnaunguruma kama jenereta linaloishiwa mafuta, aibuuu!

Wamama wanasema mmefuga mavitambi na mindevu mnashindwa kuwajibika, mmh! mie kijumbe jamani msinichukie, eti mmoja alisema likitambi linanyonya kile kidude kinabaki kama kipenseli cha mwanafunzi wa la tatu, nyie jamaniii

Nikawauliza wao wanatakaje maana nijuavyo kitambi hakihusiani na sex,
Ndio wakafunguka wanavyotaka, eti siku moja moja wapelekeeni moto hadi wawaite daddies, (kumbe sio kama wanapenda sana hela, ni kuwakomoa tu kwa kua hawaridhiki)

Sasa basi we baba hebu leo ukirudi nyumbani kwako, watume watoto kwa mjomba wakasalimie, ingia ndani na mkeo mpe show show, hata kama una kitambi usiwe mvivu zipo styles tele za wenye vitambi, wake zenu wanataka muwabinue miguu ifike shingoni, au muwachanue mapaja hadi muone maini, wanataka muwabebe halafu mnawaegemeza ukutani shughuli inaendelea, (kama huna nguvu za kutosha acha hii usije ukamvunja mtoto wa watu uti wa mgongo akikuteleza), wanataka muwapige vibao vya makalio mkiwa kwenye doggy au frog style, (wengine hata hizo styles hawazifanyi wao ni kifo cha mende akibadili sana ubavu ubavu, boring🥱), muongee, muwaite majina, wengine wanataka muwatukane (sio matusi ya kudhalilisha hapa muwe makini usije ukajikuta kwenye kikao cha familia), kikubwa peaneni heka heka hadi mtanange unaisha mnaombana maji na hamuwezi kusimama miguu inatetemeka,

Haya kijumbe nishafikisha ujumbe, narudi ndani, nikitumwa jengine nitawamegea chap, habari zangu za fasta fasta hazipoi.
Tchaooo
rudi kikaoni haraka unapitwa na mada watu wanaendelea kufunguka
 
Braza Manyanza usiwe mkali, piga zoezi na kula mlo kamili mbona fresh tu heshima unairejesha, msisingizie porn wakati wake zenu ndio wanataka hivyo
😂😂😂
Pornografia ni maigizo bhana nimeangalia video nyingi zikielezea kumbe hata zile sperms kuna namna huwa wanafanya zinaonekana zinatoka nyingi.

Wazungu wajinga sana wanaharibu sana akili zetu
 
Back
Top Bottom