Hivi hili neno "tako" ndio SI unit ya kitendo cha kudinya au imekaaje, nimeona likitumika sana kwenye muktadha huu kwenye kufanya ngono.Hatuna mambo mengi ni mwendo wa tako tatu tu pah! pah! pah! wazungu hao.
Hivi hili neno "tako" ndio SI unit ya kitendo cha kudinya au imekaaje, nimeona likitumika sana kwenye muktadha huu kwenye kufanya ngono.Hatuna mambo mengi ni mwendo wa tako tatu tu pah! pah! pah! wazungu hao.
Hata nywele za kwapani hawanyoi kabisa, juzi nilishangazwa na binti mmoja mrembo wa haja duuuh.Ila wadada wa jf muoshe masikio, sikio sio la uchungu wakuu
Weka picha ya kikao hapa tuthibitisheHapa nahema kwa nguvu kama nilikua nakimbizwa, nipo kwenye kikao cha wanawake aloo wamejua kufunguka khe!!! kubwa ni huu ujumbe nilopewa niwajuze, sikutakiwa niwaletee sasa hivi maana bado wanafunguka, ila mie na kiherehere changu nimetoka nje kama naenda maliwatoni, nimejibanza kwenye kiukuta, naandika haraka haraka huu ujumbe nisije nikasahau, nakijua kichwa changu jamani,
Sasa basi kwa mlio oa na mlio kwenye mahusiano rasmi, wanawake zenu wamenituma niwaambie na wao wanataka kubinuliwa, kubenjuliwa, kusiginwa, kukandwa, kuendeshwa kama farasi huku mmevuta nywele zao, kung'atwa shingoni na kuwaachia love bites, kiufupi wanapenda hizo heka heka ila wanaogopa kuwaambia na wanashangaa na nyie kwanini hamjiongezi,
Wamelalamika, wanaume mmekua wavivu sana, kimoja tu mkienda sana dakika 2 hapo mnaunguruma kama jenereta linaloishiwa mafuta, aibuuu!
Wamama wanasema mmefuga mavitambi na mindevu mnashindwa kuwajibika, mmh! mie kijumbe jamani msinichukie, eti mmoja alisema likitambi linanyonya kile kidude kinabaki kama kipenseli cha mwanafunzi wa la tatu, nyie jamaniii
Nikawauliza wao wanatakaje maana nijuavyo kitambi hakihusiani na sex,
Ndio wakafunguka wanavyotaka, eti siku moja moja wapelekeeni moto hadi wawaite daddies, (kumbe sio kama wanapenda sana hela, ni kuwakomoa tu kwa kua hawaridhiki)
Sasa basi we baba hebu leo ukirudi nyumbani kwako, watume watoto kwa mjomba wakasalimie, ingia ndani na mkeo mpe show show, hata kama una kitambi usiwe mvivu zipo styles tele za wenye vitambi, wake zenu wanataka muwabinue miguu ifike shingoni, au muwachanue mapaja hadi muone maini, wanataka muwabebe halafu mnawaegemeza ukutani shughuli inaendelea, (kama huna nguvu za kutosha acha hii usije ukamvunja mtoto wa watu uti wa mgongo akikuteleza), wanataka muwapige vibao vya makalio mkiwa kwenye doggy au frog style, (wengine hata hizo styles hawazifanyi wao ni kifo cha mende akibadili sana ubavu ubavu, boring🥱), muongee, muwaite majina, wengine wanataka muwatukane (sio matusi ya kudhalilisha hapa muwe makini usije ukajikuta kwenye kikao cha familia), kikubwa peaneni heka heka hadi mtanange unaisha mnaombana maji na hamuwezi kusimama miguu inatetemeka,
Haya kijumbe nishafikisha ujumbe, narudi ndani, nikitumwa jengine nitawamegea chap, habari zangu za fasta fasta hazipoi.
Tchaooo
Anasema bora hiyo hela apewe akalipe kikoba tusogeze hizo ndoo na karai nipate nafasi ya kumuweka huko ukutani ninapotaka.Nendeni guest siku ya mizagamuo ya namna hiyo
Dooh niwe mkali kwa lipi sasa Mariposa ? Hayo mambo ya porno ni ubatilli tu. Mbwembwe zote mwisho wake ni kufikia orgasm tu au kuna la ziada ?Braza Manyanza usiwe mkali, piga zoezi na kula mlo kamili mbona fresh tu heshima unairejesha, msisingizie porn wakati wake zenu ndio wanataka hivyo
Mimi anaridhika sana. Mapenzi siyo porn. Mnadanganyika sana wabongo.Fanya mazoezi mzee, kata tumbo, kua na pumzi za kutosha lile ni tendo muhimu lazima kila mmoja aridhike
We si umesema huna mambo mengi, ni kuchanua na kazi iendelee?Wenyewe wanaita Lala nikurenge
Wamesema eti upokee mabusu yao moto motoMimi wangu anaenjoy sana maana ninampelekea hekaheka tukitoka hapo mpaka shuka zimelowa jasho. Anakubali shoo zangu za kibabe
Sex haina uzungu, kulinganisha kitu mtu anapenda na porn inaonesha udhaifu mkubwa, sex ni kuenjoy usilete janja janja😂😂😂
Pornografia ni maigizo bhana nimeangalia video nyingi zikielezea kumbe hata zile sperms kuna namna huwa wanafanya zinaonekana zinatoka nyingi.
Wazungu wajinga sana wanaharibu sana akili zetu
Kabisa! Lala nikurenge niliisikia juzi kwa MoisemusajiografiiWe si umesema huna mambo mengi, ni kuchanua na kazi iendelee?
Wamama wanauliza hao wasukuma wanazijua mbilinge mbilinge au wao wanatwanga tu kama kisamvu???Ukutane na msukuma kala ugali na maharage wee mbona utatema chenji
Nimekushtukia unataka kuangalia kama na mkeo yupoWeka picha ya kikao hapa tuthibitishe
Kama ukutani majanga, unaeza mkunja kwenye kona ya kitandaAnasema bora hiyo hela apewe akalipe kikoba tusogeze hizo ndoo na karai nipate nafasi ya kumuweka huko ukutani ninapotaka.