Wanawake zenu wamenituma na wao wanataka hardcore sio kila siku slow motion

Wanawake zenu wamenituma na wao wanataka hardcore sio kila siku slow motion

Hapa nahema kwa nguvu kama nilikua nakimbizwa, nipo kwenye kikao cha wanawake aloo wamejua kufunguka khe!!! kubwa ni huu ujumbe nilopewa niwajuze, sikutakiwa niwaletee sasa hivi maana bado wanafunguka, ila mie na kiherehere changu nimetoka nje kama naenda maliwatoni, nimejibanza kwenye kiukuta, naandika haraka haraka huu ujumbe nisije nikasahau, nakijua kichwa changu jamani,

Sasa basi kwa mlio oa na mlio kwenye mahusiano rasmi, wanawake zenu wamenituma niwaambie na wao wanataka kubinuliwa, kubenjuliwa, kusiginwa, kukandwa, kuendeshwa kama farasi huku mmevuta nywele zao, kung'atwa shingoni na kuwaachia love bites, kiufupi wanapenda hizo heka heka ila wanaogopa kuwaambia na wanashangaa na nyie kwanini hamjiongezi,

Wamelalamika, wanaume mmekua wavivu sana, kimoja tu mkienda sana dakika 2 hapo mnaunguruma kama jenereta linaloishiwa mafuta, aibuuu!

Wamama wanasema mmefuga mavitambi na mindevu mnashindwa kuwajibika, mmh! mie kijumbe jamani msinichukie, eti mmoja alisema likitambi linanyonya kile kidude kinabaki kama kipenseli cha mwanafunzi wa la tatu, nyie jamaniii

Nikawauliza wao wanatakaje maana nijuavyo kitambi hakihusiani na sex,
Ndio wakafunguka wanavyotaka, eti siku moja moja wapelekeeni moto hadi wawaite daddies, (kumbe sio kama wanapenda sana hela, ni kuwakomoa tu kwa kua hawaridhiki)

Sasa basi we baba hebu leo ukirudi nyumbani kwako, watume watoto kwa mjomba wakasalimie, ingia ndani na mkeo mpe show show, hata kama una kitambi usiwe mvivu zipo styles tele za wenye vitambi, wake zenu wanataka muwabinue miguu ifike shingoni, au muwachanue mapaja hadi muone maini, wanataka muwabebe halafu mnawaegemeza ukutani shughuli inaendelea, (kama huna nguvu za kutosha acha hii usije ukamvunja mtoto wa watu uti wa mgongo akikuteleza), wanataka muwapige vibao vya makalio mkiwa kwenye doggy au frog style, (wengine hata hizo styles hawazifanyi wao ni kifo cha mende akibadili sana ubavu ubavu, boring🄱), muongee, muwaite majina, wengine wanataka muwatukane (sio matusi ya kudhalilisha hapa muwe makini usije ukajikuta kwenye kikao cha familia), kikubwa peaneni heka heka hadi mtanange unaisha mnaombana maji na hamuwezi kusimama miguu inatetemeka,

Haya kijumbe nishafikisha ujumbe, narudi ndani, nikitumwa jengine nitawamegea chap, habari zangu za fasta fasta hazipoi.
Tchaooo
wewe mabibi na mabwana, waambie kwamba ndoa/mahusiano si mtihani wa kubahatisha majibu. Ndoa na mahusiano bora yanajengwa na
1.Kuongea kuhusu mahitaji yenu ya kimapenzi au kingono na
2. mipaka na kile kinachomfurahisha kila mmoja
Hivyo viwili mwanangu ni sehemu ya kujenga ukaribu kati yenu.
šŸ˜„
 
Halafu ponografia ni maigizo yale hayana uhalisia lakini Mtu mweusi hudhani ni kweli.

Ndio maana tunaendelea kubaki wajinga na uwezo wetu wa kufikiri unazidi kudumaa
Sio maigizo pale ni wanafanya performative sex.. Ambayo ni kiharibu namna normal sex inapaswa kuwa
 
Waambie sisi sio wacheza porn za BDSM.

Wakitaka kufanyiwa hivyo, wakodi wahuni wa mtaani, au watafute agents waende Uarabuni kwa waarabu wa Dubai Porta Porty huko watafanyiwa kila aina ya ufuska hadi kunyewa midomoni.
 
Back
Top Bottom