Wanawake zenu wamenituma na wao wanataka hardcore sio kila siku slow motion

wewe mabibi na mabwana, waambie kwamba ndoa/mahusiano si mtihani wa kubahatisha majibu. Ndoa na mahusiano bora yanajengwa na
1.Kuongea kuhusu mahitaji yenu ya kimapenzi au kingono na
2. mipaka na kile kinachomfurahisha kila mmoja
Hivyo viwili mwanangu ni sehemu ya kujenga ukaribu kati yenu.
😄
 
Halafu ponografia ni maigizo yale hayana uhalisia lakini Mtu mweusi hudhani ni kweli.

Ndio maana tunaendelea kubaki wajinga na uwezo wetu wa kufikiri unazidi kudumaa
Sio maigizo pale ni wanafanya performative sex.. Ambayo ni kiharibu namna normal sex inapaswa kuwa
 
Waambie sisi sio wacheza porn za BDSM.

Wakitaka kufanyiwa hivyo, wakodi wahuni wa mtaani, au watafute agents waende Uarabuni kwa waarabu wa Dubai Porta Porty huko watafanyiwa kila aina ya ufuska hadi kunyewa midomoni.
 
Ila Nitakuwa mwongo kusema ya kuwa Dr. Mariposa huwa una nyota kali sana ya kuondoka na kijiji chako kwa mada zenye hisia kali, japo mada zako huwa ni trivial na hazina mafunzo yoyote.

Si ndo wewe ulikuja na mada ya wanaume kunuka kwapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…