Wanazuoni: Tozo mpya ni batili hazifai. Mwigulu Nchemba amekurupuka. Double taxation haikubaliki

Wanazuoni: Tozo mpya ni batili hazifai. Mwigulu Nchemba amekurupuka. Double taxation haikubaliki

Simwelewi kabisa huyu waziri kuweka tozo kwenye pesa yangu kisa tu serikali hunilipa kupitia bank!

Huu sasa ni Wizi, Sina tafasiri nyingine zaidi ya kutumia neno hilo Kwa serikali inavyowafanyia RAIA wake

Nchi hii wanasheria walinda haki za wananchi, wanaharakati walinda haki za binadamu, linapotokea jambo kama hili, huwa mnajificha wapi.?

Sielewi ujue!
 
Nchi hii imekuwa ngumu sana.
 
Duuuh tozo ni balaaa inatakiwa ziangaliwe upya maana zinakatisha tamaaa,,hela yako lakini unakosa nayo uhuru.
Nimetoa hela nakuta makato ni kama tsh. 11,000/=.hivi tunaelekea wapi?
 
Mwigulu ni daktari wa uchumi asiyejua kufikiri.Sisi ambao hatupo kwenye mifumo rasmi na tulibahitka kupata kaelimu nidgo tunatunza hela zetu kwenye crypto tu.Natoa cash kidgo kwa matumizi.Hizi transactions chache haziathiri sana
 
Serikali yetu hapa mlipofika kwa kweli mnaelekea kubaya sana.
Screenshot_20220825-140403.jpg
 
Mpendwa mteja, tunakutaarifu kuwa tumeanza kutekeleza agizo la Serikali kwa kukusanya tozo kwenye miamala yote ya malipo iliyofanyika kuanzia 1 Julai 2022.
Goma la TCB Bank hiloo
 
PhD za kwenye makaratasi ila application ground ni sifuri.
 
Hiyo Tozo ya Bank ni batili tatizo kubwa hatuna Waziri wa fedha pale...yaani hajui anafanya nini na kwa wakati gani hawa viongozi wengine wanafaa kuwa Marais wa Vilabu kama Yanga au Simba sio kuongoza Nchi kama sasa...
 
Back
Top Bottom