Kwa akili yako hiyo fedha aliyoitoa Rais ni ya CCM? Wajinga mpo wengi. Goli moja la Simba au Yanga lina thamani kuliko uhai wako!!? Vitu vingine tuondoe ushabiki na tumshauri vizuri mheshimiwa. Kwenye maafa haya kuna familia zimebaki na uitaji mkubwa sana.
Rais katoa Million 1.
Makamu katoa ngapi?.
Waziri mkuu katoa ngapi?
Mbunge wa hilo jimbo katoa ngapi?
Naona kuwa rais Tanzania ni sawa na kutukanwa tu hakuna jema kwa rais wa Tanzania.
Vipi bajeti ya zile chopa na viongozi walioenda kushangaa landslide huko Manyara, ni kiasi gani? Miccm akili zenu mbovu sana, mlipeleka viongozi wakafanye nini badala ya rescue teams?Nimeandika B na sio 8.
Kama unaona hy 1m ni ndogo bc toeni nyie chadema mana muda wote ni kulalamika tuu lkn hamna msaada wowote mnaotoa
Nimemuelewa kuwa kavunja kibubu kwa minajili ya 2025Rais anapokuwa hana maono kazi yake kubwa inakuwa ni kutafuta umaarufu badala ya kuumiza kichwa kuhusu ustawi wa watu wa taifa lake.
Wangapi wamemuelewa rais Samia ktk hili?
View attachment 2839872View attachment 2839873
Nimeandika B na sio 8.
Kama unaona hy 1m ni ndogo bc toeni nyie chadema mana muda wote ni kulalamika tuu lkn hamna msaada wowote mnaotoa
Huyu jamaa ni moja ya wajinga wa ccm sikujua, goli moja ni 10m, kifo kimoja ni 1m halafu anashangilia. Hapo raisi anatumia nini kufikiri? Au watasema washauri wake wamempotosha?Nafikiri mpuuzi namba moja ni wewe.
Hiyo misaada ni ya kuwajengea, tunaongelea mkono wa pole kwa kila mwili
Rambirambi siyo sehemu ya kutafutia utajiri, acheni roho za kimasikini.
Kama ulikuwa masikini, usije trgemea rambirambi zikutajirishe.
Rambirambi ni sehemu ya pole na faraja kwa wafiwa, na ni zoezi la haraka ili kuwasaidia wafiwa wakati wa siku za msiba.
Hakuna pesa yoyote itakayoendana na thamani ya uhai wa mtu..
Bado ww ni mpuuzi tuu, kwahy ulitaka wapewe mamilioni.? Unadhani wote waliofariki walikuwa productive.? Bc toa ww hizo unazoona wanapaswa kupewa
Kwa hiyo tuendelee kulipia goli moja 10m na vitu vya msingi na dharura vikija tusivipe kipaumbele?Rambirambi siyo sehemu ya kutafutia utajiri, acheni roho za kimasikini.
Kama ulikuwa masikini, usije trgemea rambirambi zikutajirishe.
Rambirambi ni sehemu ya pole na faraja kwa wafiwa, na ni zoezi la haraka ili kuwasaidia wafiwa wakati wa siku za msiba.
Hakuna pesa yoyote itakayoendana na thamani ya uhai wa mtu..
Erythrocyte jana kaja na msamiati wa "pesa ndefu" ila hataji kiasi mana anaona aibu. Ahahahahaha!!!
Angalia hotuba ya waziri mkuu na rais ya juzi juma pili. Wote watajengewa nyumba. Mimi ninaamini hivyo.
Wewe huna taarifa au hujaelewa kitu!Hii kitu ni chukizo, kwa mujibu wa taarifa rasmi walio fariki hawazidi 90, hivi serikali ndio inatoa 90m tu?
Halafu goli moja lina thamani kuliko mtanzania?
Nani mshauri wa raisi?
Wewe huna taarifa au hujaelewa kitu!
Huo ni MKONO wa pole!
Serikali inafanya Makubwa sana kwa waathirika!
Kuwajengea nyumba,kuwarejeshea mali zilizopotea,Mambo chungu nzima yanafanyika pale Hanang!
Halafu hata hilo goli unalosema kumbe hujui maana yake!
Ule ni Motisha tu kwa Wana team!
Maana yake kama ni kugawa basi ugawe 10M kwa 10M ndo thamani ya kila mshabiki wa team!
Kwanza wewe umechanga hata 100 kwenda Hanang?
Watu wamechanga-jiulize wewe umechanga kiasi gani?
Wewe sema, Chadema wamechangia shilingi ngapi? Full stop. Ule Mfukonwa Maafa wa Kusaidia Hanang una shilingi ngapi hadi Sasa? Full stop! Hayo ya ulinganisho unayo wewe!Tatizo linakuja Pale mnapotaka kuilinganisha CHADEMA na Serikali yenye mfuko wa maafa na Bajeti ya zaidi ya Trilioni 40.
Naskia chadema mlitoa mamilioni, hv ilikuwa sh ngapi ile mana Naskia zilikuwa nyingi sana.?