Wangapi wamemuelewa Rais Samia katika hili?

Wangapi wamemuelewa Rais Samia katika hili?

Rais katoa Million 1.
Makamu katoa ngapi?.
Waziri mkuu katoa ngapi?
Mbunge wa hilo jimbo katoa ngapi?

Naona kuwa rais Tanzania ni sawa na kutukanwa tu hakuna jema kwa rais wa Tanzania.

Ni Rais katoa au serikali?. Maana tuanaambiwa ni rambi rambi ya serikali.
 
Nimeandika B na sio 8.

Kama unaona hy 1m ni ndogo bc toeni nyie chadema mana muda wote ni kulalamika tuu lkn hamna msaada wowote mnaotoa
Vipi bajeti ya zile chopa na viongozi walioenda kushangaa landslide huko Manyara, ni kiasi gani? Miccm akili zenu mbovu sana, mlipeleka viongozi wakafanye nini badala ya rescue teams?
 
Nimeandika B na sio 8.

Kama unaona hy 1m ni ndogo bc toeni nyie chadema mana muda wote ni kulalamika tuu lkn hamna msaada wowote mnaotoa

Yani serikali yakijinga wakajazana Hanang karibia wote kumbe mchango milioni moja. Wakaandaa mkutano na kulipa wasanii kibao halafu wanawapa raia milioni moja ya rambirambi. Aiseeh!
 
Nafikiri mpuuzi namba moja ni wewe.

Hiyo misaada ni ya kuwajengea, tunaongelea mkono wa pole kwa kila mwili
Huyu jamaa ni moja ya wajinga wa ccm sikujua, goli moja ni 10m, kifo kimoja ni 1m halafu anashangilia. Hapo raisi anatumia nini kufikiri? Au watasema washauri wake wamempotosha?
 
Rambirambi siyo sehemu ya kutafutia utajiri, acheni roho za kimasikini.

Kama ulikuwa masikini, usije trgemea rambirambi zikutajirishe.

Rambirambi ni sehemu ya pole na faraja kwa wafiwa, na ni zoezi la haraka ili kuwasaidia wafiwa wakati wa siku za msiba.

Hakuna pesa yoyote itakayoendana na thamani ya uhai wa mtu..

Nani kasema utajiri kwenye rambi rambi?. Issue ni kujazana kwa serikali Hanang na kulipia mamisafara na makundi ya wasanii. Kwanini wasingepunguza gharama za mkutano na kuongeza angalau rambirbi?. Tusipende kutetea makosa ya wazi kiasi hiki.
 
Bado ww ni mpuuzi tuu, kwahy ulitaka wapewe mamilioni.? Unadhani wote waliofariki walikuwa productive.? Bc toa ww hizo unazoona wanapaswa kupewa

Ila kwa Tanzania serikali huwa haijali raia wake Hilo lipo wazi. Kwenye kubebana misafara kwenda India na Dubai sawa, ila inapokuja kwenye maafa huwa wazito Sana.
 
Rambirambi siyo sehemu ya kutafutia utajiri, acheni roho za kimasikini.

Kama ulikuwa masikini, usije trgemea rambirambi zikutajirishe.

Rambirambi ni sehemu ya pole na faraja kwa wafiwa, na ni zoezi la haraka ili kuwasaidia wafiwa wakati wa siku za msiba.

Hakuna pesa yoyote itakayoendana na thamani ya uhai wa mtu..
Kwa hiyo tuendelee kulipia goli moja 10m na vitu vya msingi na dharura vikija tusivipe kipaumbele?

Hakuna utajiri kwenye kufarijiwa, ila faraja ina tija kama inapunguza machungu. 1m itamsaidia nini mtu aliyepoteza makazi na kufiwa. Wakati huo viongozi wametumia millions of money kwenda kushangaa maporomoko ya tope, wakati walihitajika rescue teams kusaidia kupunguza vifo.

Aliyetuloga alibeba akili zetu.
 
Erythrocyte jana kaja na msamiati wa "pesa ndefu" ila hataji kiasi mana anaona aibu. Ahahahahaha!!!

Tatizo linakuja Pale mnapotaka kuilinganisha CHADEMA na Serikali yenye mfuko wa maafa na Bajeti ya zaidi ya Trilioni 40.
 
Hii kitu ni chukizo, kwa mujibu wa taarifa rasmi walio fariki hawazidi 90, hivi serikali ndio inatoa 90m tu?

Halafu goli moja lina thamani kuliko mtanzania?

Nani mshauri wa raisi?
Wewe huna taarifa au hujaelewa kitu!

Huo ni MKONO wa pole!

Serikali inafanya Makubwa sana kwa waathirika!

Kuwajengea nyumba,kuwarejeshea mali zilizopotea,Mambo chungu nzima yanafanyika pale Hanang!

Halafu hata hilo goli unalosema kumbe hujui maana yake!

Ule ni Motisha tu kwa Wana team!

Maana yake kama ni kugawa basi ugawe 10M kwa 10M ndo thamani ya kila mshabiki wa team!

Kwanza wewe umechanga hata 100 kwenda Hanang?

Watu wamechanga-jiulize wewe umechanga kiasi gani?
 
Ila hii ni dharau ya mwaka. Serikali ikikutukana haikuchagulii tusi.
 
Wewe huna taarifa au hujaelewa kitu!

Huo ni MKONO wa pole!

Serikali inafanya Makubwa sana kwa waathirika!

Kuwajengea nyumba,kuwarejeshea mali zilizopotea,Mambo chungu nzima yanafanyika pale Hanang!

Halafu hata hilo goli unalosema kumbe hujui maana yake!

Ule ni Motisha tu kwa Wana team!

Maana yake kama ni kugawa basi ugawe 10M kwa 10M ndo thamani ya kila mshabiki wa team!

Kwanza wewe umechanga hata 100 kwenda Hanang?

Watu wamechanga-jiulize wewe umechanga kiasi gani?

Hayo umeyasema wewe. Ila kwa ufupi serikali yetu Ina dharau Sana raia wake ikisaidiwa na chawa wengi. Maana hakuna tusi kubwa Kama Hilo goli moja la Simba Ina thamani ya raia 10. Aiseeh! Serikali iombe Radhi kwa kweli.
 
Tatizo linakuja Pale mnapotaka kuilinganisha CHADEMA na Serikali yenye mfuko wa maafa na Bajeti ya zaidi ya Trilioni 40.
Wewe sema, Chadema wamechangia shilingi ngapi? Full stop. Ule Mfukonwa Maafa wa Kusaidia Hanang una shilingi ngapi hadi Sasa? Full stop! Hayo ya ulinganisho unayo wewe!
 
Nafikiri hiyo ni mkono tu wa pole lakini kuna mengi yatafanyika, nina hakika miundo mbinu iliharibika sana hivyo fedha zitatumika sana. Nilisikia pia watajengewa nyumba. Wakati mwingine tushukuru hata kwa kidogo. Ni bora kuliko ile ya "serikali haikuleta tetemeko".
 
Back
Top Bottom