Mbowe ametoa 'pesa ndefu' sana kwenye hy foundation Ila ndo hvy Mwenyekiti wetu ana tabia za kusahau kuhesabu pesa anazotoa
CC mwanamama Erythrocyte
Hivi sababu za Msingi kufuta Bima ya toto Afya ni nini?kwani ingeongezwa Bei ata kufikia 100000 kuna shida gani!Rais anapokuwa hana maono kazi yake kubwa inakuwa ni kutafuta umaarufu badala ya kuumiza kichwa kuhusu ustawi wa watu wa taifa lake.
Wangapi wamemuelewa rais Samia ktk hili?
View attachment 2839872View attachment 2839873
Wewe sema, Chadema wamechangia shilingi ngapi? Full stop. Ule Mfukonwa Maafa wa Kusaidia Hanang una shilingi ngapi hadi Sasa? Full stop! Hayo ya ulinganisho unayo wewe!
Sasa familia ilipotelewa na mpendwa wao Serikali imetoa milioni moja na kuwajengea nyumba bado unaona Serikali aijafanya kitu tuwe na moyo wa shukrani wakati mwingine na sio kupingapinga kila kituNafikiri mpuuzi namba moja ni wewe.
Hiyo misaada ni ya kuwajengea, tunaongelea mkono wa pole kwa kila mwili
Yanga na taasisi zingine zilizotoa misaada zina mifuko ya maafa?Acha uchawa. Unailinganisha CHADEMA na serikali. Serikali yenye mfuko wa maafa na Bajeti
Bashite ndo mshauliHii kitu ni chukizo, kwa mujibu wa taarifa rasmi walio fariki hawazidi 90, hivi serikali ndio inatoa 90m tu?
Halafu goli moja lina thamani kuliko mtanzania?
Nani mshauri wa raisi?
Yanga na taasisi zingine zilizotoa misaada nazo zinakusanya kodi au tozo?Kwani Chadema inakusanya kodi au tozo?
Huyu mama anapenda kutafuta umaarufu sijwahi kuona.Rais anapokuwa hana maono kazi yake kubwa inakuwa ni kutafuta umaarufu badala ya kuumiza kichwa kuhusu ustawi wa watu wa taifa lake.
Wangapi wamemuelewa rais Samia ktk hili?
View attachment 2839872View attachment 2839873
Hao wafiwa waliopewa 1m kwa kila kifo,Bado wanapewa huduma zote muhimu kipindi wamepoteza makazi yao na bado serikali itawajengea makazi mapya.Kwa hiyo tuendelee kulipia goli moja 10m na vitu vya msingi na dharura vikija tusivipe kipaumbele?
Hakuna utajiri kwenye kufarijiwa, ila faraja ina tija kama inapunguza machungu. 1m itamsaidia nini mtu aliyepoteza makazi na kufiwa. Wakati huo viongozi wametumia millions of money kwenda kushangaa maporomoko ya tope, wakati walihitajika rescue teams kusaidia kupunguza vifo.
Aliyetuloga alibeba akili zetu.
Mshauri wa Rais ni Naibu Rais (ndugu BASHITE)Hii kitu ni chukizo, kwa mujibu wa taarifa rasmi walio fariki hawazidi 90, hivi serikali ndio inatoa 90m tu?
Halafu goli moja lina thamani kuliko mtanzania?
Nani mshauri wa raisi?
TumekwishaMshauri wa Rais ni Naibu Rais (ndugu BASHITE)
Jadili mada. Rais kutoa milioni 10 kwa kila goli la Simba halafu milioni 1 kwa kila mwili, siyo dharau kwa uhai wa watanzania?Mie naona ili jamii forum iwe bora kama ilivyokuwa zamani kwa kuandika thread zenye mashiko naona ni bora JamiiForums na mods wangekuwa wanareview kila thread kabla hata ya kupostiwa.
Maana sku hizi kila ukiingia unakuta thread za ajabu ajabu mpaka unajiuliza hivi huyu aliyeandika alijifikiria kweli au atakuwa na umri gani
Chadema hela watoe wapi kuna kodi wanakusanya?CHADEMA hata milioni 10 tu mmetoa kusaidia wahanga? Unajua kazi inayofanyika Hanang au umengalia tu hiyo mkono wa pole?
Hatimaye madhara ya kutaja taja Rais katoa hiki,Rais katoa kile yameanza kudhihiri.Rais katoa Million 1.
Makamu katoa ngapi?.
Waziri mkuu katoa ngapi?
Mbunge wa hilo jimbo katoa ngapi?
Naona kuwa rais Tanzania ni sawa na kutukanwa tu hakuna jema kwa rais wa Tanzania.
Ni kilaza wa nguvu! Nchi inaenda shimoni! labda komredi Kinana atamsaidia ingawaje tembo wetu hala hala!Rais anapokuwa hana maono kazi yake kubwa inakuwa ni kutafuta umaarufu badala ya kuumiza kichwa kuhusu ustawi wa watu wa taifa lake.
Wangapi wamemuelewa rais Samia ktk hili?
View attachment 2839872View attachment 2839873
Aiseee, umeandika nini hapa!?Kila anafanya roho inapenda Lema au Nassar hao wabunge walikua alifanya mazishi ya mbwa je yale yalikuwa ni maono!
Tena umeongea kitu kilichosahaulika. Serikali ilijikamua dollars mil. 1 kuipa Uturuki pamoja na kwamba uchumi wetu mdogo, Lakini Dollar laki moja iliyotolewa na Marekani imetunyima usingizi kwa jinsi Lucas avyompamba Rais kwa kupokea hiyo fedha. Kwa Hanan'g serikali yenye fungu la maafa na wajibu, tunakesha kusifia billion 2.5 iliyotolewa na serikali, karibu sawa na fedha tuliyoitoa kwa Uturuki.Watu wanaongelea mambo ya Umma wewe unaleta issue za watu binafsi. Si ndio hii serikali iliyotoa Dola milioni moja uturuki ila Hanang wametoa buku moja. Aiseeh.