Wangapi wamemuelewa Rais Samia katika hili?

Wangapi wamemuelewa Rais Samia katika hili?

Mbowe ametoa 'pesa ndefu' sana kwenye hy foundation Ila ndo hvy Mwenyekiti wetu ana tabia za kusahau kuhesabu pesa anazotoa

CC mwanamama Erythrocyte

Watu wanaongelea mambo ya Umma wewe unaleta issue za watu binafsi. Si ndio hii serikali iliyotoa Dola milioni moja uturuki ila Hanang wametoa buku moja. Aiseeh.
 
Wewe sema, Chadema wamechangia shilingi ngapi? Full stop. Ule Mfukonwa Maafa wa Kusaidia Hanang una shilingi ngapi hadi Sasa? Full stop! Hayo ya ulinganisho unayo wewe!

Ulinganisho si ndio huo unaoutaka?. Unaniuliza CHADEMA wamechangia shilingi ngapi ili ulinganishe na hiyo milioni 80 waliotoa serikali?. Acha zako
 
Tuna serikali ya kitapeli Sana. Ilipeleka Dola elfu moja Uturuki kujionesha, ila kwa Hanang inatoa buku moja Kama imelazimishwa vile.
 
Nafikiri mpuuzi namba moja ni wewe.

Hiyo misaada ni ya kuwajengea, tunaongelea mkono wa pole kwa kila mwili
Sasa familia ilipotelewa na mpendwa wao Serikali imetoa milioni moja na kuwajengea nyumba bado unaona Serikali aijafanya kitu tuwe na moyo wa shukrani wakati mwingine na sio kupingapinga kila kitu
 
Kwa hiyo tuendelee kulipia goli moja 10m na vitu vya msingi na dharura vikija tusivipe kipaumbele?

Hakuna utajiri kwenye kufarijiwa, ila faraja ina tija kama inapunguza machungu. 1m itamsaidia nini mtu aliyepoteza makazi na kufiwa. Wakati huo viongozi wametumia millions of money kwenda kushangaa maporomoko ya tope, wakati walihitajika rescue teams kusaidia kupunguza vifo.

Aliyetuloga alibeba akili zetu.
Hao wafiwa waliopewa 1m kwa kila kifo,Bado wanapewa huduma zote muhimu kipindi wamepoteza makazi yao na bado serikali itawajengea makazi mapya.

Tujifunze kuwa na shukurani,,
Rambirambi siyo mtaji.
 
Hii kitu ni chukizo, kwa mujibu wa taarifa rasmi walio fariki hawazidi 90, hivi serikali ndio inatoa 90m tu?

Halafu goli moja lina thamani kuliko mtanzania?

Nani mshauri wa raisi?
Mshauri wa Rais ni Naibu Rais (ndugu BASHITE)
 
Mie naona ili jamii forum iwe bora kama ilivyokuwa zamani kwa kuandika thread zenye mashiko naona ni bora JamiiForums na mods wangekuwa wanareview kila thread kabla hata ya kupostiwa.

Maana sku hizi kila ukiingia unakuta thread za ajabu ajabu mpaka unajiuliza hivi huyu aliyeandika alijifikiria kweli au atakuwa na umri gani
 
Mie naona ili jamii forum iwe bora kama ilivyokuwa zamani kwa kuandika thread zenye mashiko naona ni bora JamiiForums na mods wangekuwa wanareview kila thread kabla hata ya kupostiwa.

Maana sku hizi kila ukiingia unakuta thread za ajabu ajabu mpaka unajiuliza hivi huyu aliyeandika alijifikiria kweli au atakuwa na umri gani
Jadili mada. Rais kutoa milioni 10 kwa kila goli la Simba halafu milioni 1 kwa kila mwili, siyo dharau kwa uhai wa watanzania?
 
Rais katoa Million 1.
Makamu katoa ngapi?.
Waziri mkuu katoa ngapi?
Mbunge wa hilo jimbo katoa ngapi?

Naona kuwa rais Tanzania ni sawa na kutukanwa tu hakuna jema kwa rais wa Tanzania.
Hatimaye madhara ya kutaja taja Rais katoa hiki,Rais katoa kile yameanza kudhihiri.

Zamani walikua wanasema serikali imetoa,maana yake ni wote hao uliowataja na wananchi wakiwemo ndiyo wenye hizo pesa.

Madhara zaidi yatakuja siku serikali itatoa pesa za kujenga barabara au mradi wowote mahali flani, wanazi wa Rais watasema Rais katoa bilioni kadhaa kujenga barabara ya eneo hilo...siku akipita makamu wa Rais au waziri mkuu,aweza hojiwa kuwa Rais katoa pesa kwa ajili ya kujenga barabara,wewe umetoa kiasi gani?

Sasa hivi kila pesa inaonekana ni hisani ya Rais,ni kama anatoa pesa zake binafsi,ndiyo sababu ya wewe mchangiaji unahoji Rais katoa 1m, makamu katoa ngapi,waziri mkuu katoa ngapi, mbunge katoa ngapi,unasahau kuwa hizo pesa ni za serikali
 
Watu wanaongelea mambo ya Umma wewe unaleta issue za watu binafsi. Si ndio hii serikali iliyotoa Dola milioni moja uturuki ila Hanang wametoa buku moja. Aiseeh.
Tena umeongea kitu kilichosahaulika. Serikali ilijikamua dollars mil. 1 kuipa Uturuki pamoja na kwamba uchumi wetu mdogo, Lakini Dollar laki moja iliyotolewa na Marekani imetunyima usingizi kwa jinsi Lucas avyompamba Rais kwa kupokea hiyo fedha. Kwa Hanan'g serikali yenye fungu la maafa na wajibu, tunakesha kusifia billion 2.5 iliyotolewa na serikali, karibu sawa na fedha tuliyoitoa kwa Uturuki.
 
Back
Top Bottom