Wangapi zamani waliamini Majaji ni watu wenye uwezo mkubwa lakini Sasa wanaanza kuamini kila mtu anaweza kuwa Jaji?

Ujaji wa offer kama hao wa kisutu ni utopolo
 
Akihukumiwa sabaya, jaji anafanya kazi nzuri, mbowe akikutwa na mashtaka ya kujibu majaji wanaonekana wa hovyo. Yaani ni vituko
 
Upo sawa,lakini palipo na interest binafsi hayo yote hatajali. Ndio maana kesi zinakuja kutupwa kwenye rufaa kwa grounds zilezile za Jaji wa hovyo
 
Akihukumiwa sabaya, jaji anafanya kazi nzuri, mbowe akikutwa na mashtaka ya kujibu majaji wanaonekana wa hovyo. Yaani ni vituko
Mkuu si tunaangalia facts au watu wanaongea tu. Sabaya huu upuuzi kafanya hadharani,kuhusu Mbowe hatuoni ushahidi wa maana zaidi ya brah brah
 
Na 5 ni sahihi, teuzi zote uamuriwa na wanasiasa.
 
Awamu iliyopita wengi sana walipata ujaji kwa hoja no 5.
 
Mashaka labda kwa wa awamu ya tano
 
JAJI NI JAJI Ukianza tu KUMJAJI JAJI kwa mirengo ya kisiasa huwezi tambua maana ya JAJI,Nimefatillia sana kesi ya Mheshimiwa MBOWE toka inaanza ila honestly speaking from the beggining watoa taarifa hawakuwa objective
Kwa hiyo wewe fala ushahidi wa kuungaunga wa Jamhuri ndo kuwa objective? Pumbavu kabisa
 
Majaji wengi asilimia kubwa wanauwezo mkubwa sema hamfuatilii
 
Ngoja tuone... Wanapatikana kwa elimu na uwezo wao...
 
Majaji wengi asilimia kubwa wanauwezo mkubwa sema hamfuatilii
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
JAJI NI JAJI Ukianza tu KUMJAJI JAJI kwa mirengo ya kisiasa huwezi tambua maana ya JAJI,Nimefatillia sana kesi ya Mheshimiwa MBOWE toka inaanza ila honestly speaking from the beggining watoa taarifa hawakuwa objective
Duuh kvp mkuu!Mimi binafsi nimefika pale mahakamani mara 3, objective kivip
 
Samata J
Mwalusanya J
Kisanga J
Makame J
Etal hiki kizazi kilikuwa balaa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kumbuka hukoZNZ jaji aliwahi toka Nigeria, jiulize why!. Wenzetu kuimarisha na kutofautisha mihimili, wanaopendekezwa majina yanapelekwa bungeni kwenye kamati maalumu, hapo ndipo ajira inapatikana na si vinginevyo vya wewe panda wewe teremka
 
Hivi Emoji zikiwa nyingi zina maana gani?
 
... Bite; wala tusiumize vichwa. Turejee kwenye misingi; Waamuzi (Majaji) katika taifa la Mungu walipatikanaje? That's the best foundation kwa hoja yako hii murua kabisa. Kasome kile kitabu halafu urejee hapa utueleze umeelewa nini kuhusu majaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…