Wangapi zamani waliamini Majaji ni watu wenye uwezo mkubwa lakini Sasa wanaanza kuamini kila mtu anaweza kuwa Jaji?

Eti Jaji Warioba. Hebu tafuta Judgment yoyote iliyowahi kuandikwa na Warioba iweke hapa Jamvini ili tulinganishe na hitimisho lako hilo.
Watu mmekuwa makasuku mnandandia vitu hata hamvijui ati
Ni judge yule alishawahi kufanya kazi hiyo japo kwa muda mfupi na mazingira yalikuwa tofauti wenye profession yao(wanasheria) wanajua at what point Warioba alikuwa jaji.......
ila kwa layman kama ww huwezi jua
 
Hiyo namba tano ndio sahihi
 
Kesi ya mchongo itawatoka puani.
 
Biswalo Mganga alipaswa kupelekwa kuwa Balozi lakini sio Jaji. Ukweli uteuezi wake umedhalilisha sana hadhi ya Majaji wetu wazuri kwa kuonesha kuwa kazi ya Majaji ni hovyo tu!
 
Ni judge yule alishawahi kufanya kazi hiyo japo kwa muda mfupi na mazingira yalikuwa tofauti wenye profession yao(wanasheria) wanajua at what point Warioba alikuwa jaji.......
ila kwa layman kama ww huwezi jua
Najua ni Jaji, Sasa lete Judgment yoyote aliyewahi kuandika hapa, ili tulinganishe na hitimisho lenu. By the way unajua kwanini sijamzungumzia Rukakingira.
Wewe ndo hujui chochote, hivyo nawe ni kasuku!
 

Mkuu katika andiko lako umeoneka uko biased na Pia mwenye maamuzi mbele. So your whole argument iko biased and so upuuzi. Na kama unafiki Wewe ndo umeongoza. Umeandika kutumia hearsay kuliko unachojua kwa uhalisia.

Kila binadamu an unafiki fulani and that’s , Duniani kote. Sasa sijui unamaanisha nini kusema Tz tu. JPM alikupa kile kilicho moyoni mwake, hakupepesa. Iwe kwa ubaya au kwa wema. Je ni unafiki?

Wewe Leo kesi ya Mbowe Unajifanya kuropoka mpaka kujitukana. You are hopeless and mnafiki namba one. Je wewe Ni mwanasheria? I hope not! Mana itakuwa Katastroph. WHO are you. Judge? Umesoma hukumu? Je wewe unamjua Kibatala kwa Undani? Mbowe je? Mkeo unamjua kabisa [emoji817]? Mwanao? Baba yako? Nk.


Nakushauri Acha mahaba katika mambo ya msingi. Subira yavuta heri‘,
 
Twamkumbuka Judge James Mwalusanya kwenye haki ya mTz kuwa mgombea binafsi
 
Najua ni Jaji, Sasa lete Judgment yoyote aliyewahi kuandika hapa, ili tulinganishe na hitimisho lenu. By the way unajua kwanini sijamzungumzia Rukakingira.
Wewe ndo hujui chochote, hivyo nawe ni kasuku!
Kwa mtu mwenye upeo mdogo kama ww!unaweza kudhani kukuita layman nimekutukana?
Kumbe ni lugha inayomstahili mtu yyte ambae sio mweledi wa sheria
 
Halafu wengine wanataka mpaka washinde wao ndo Jaji yuko fair.
Ndugu,
Hatuhitaji hukumu za kisiasa au kukomoa watu kama ambavyo inazidi kuwa fasion. Utakapoandika tena utatakiwa kutilia maanani kuwa "........Haki inatakiwa sio tu itendeke bali ionekane inatendeka.......".
 
Kwa mtu mwenye upeo mdogo kama ww!unaweza kudhani kukuita layman nimekutukana?
Kumbe ni lugha inayomstahili mtu yyte ambae sio mweledi wa sheria
Ha ha ha ha ha we kiazi kweli. We ndo mweledi wa Sheria siyo?.
Nimekueleza kama kweli wewe ni mwanasheria lete hapa Hukumu alizowahi kuandika Warioba tuzione ili tuhitimishe kuwa kweli alikuwa Jaji Nguli.
Ulivyo ndezi haponjuu unasema eti alifanya ujaji kwa mda kidogo.
Sasa Kama alifanya kwa mda kidogo hiyo conclusion kuwa alikuwa Jaji mzuri mmeotoa wapi au kwa vigezo vipi?
Huoni Kama wewe ni ndezi.
Lete Hukumu alizowahi kuandika Warioba hapa tusome ili tuone huo umahiri wake mnaomsifia nao.
Hao kina Lugakingira, kina Mwalusanya, Barinabas, Kiando, Manento na wengine wengi Judgment zao zipo na Kila siku zinasomwa na kupitia Judgment hizo watu ndo wanafikia hitimisho kuwa walikuwa Miamba kweli kweli.
Lete Judgment ya Warioba hapa tusome au kama umeshawahi kuisoma sehemu tupe link tukaitafute.
Otherwise you are just a moron unayejifanya eti unajua Sheria!
 
Zama za majaji wenye unquestionable ability and outstanding nadhani inaishia na kina Jaji Rumanyika. Toka alipoingia hayati Jiwe aliburuga kabisa huo mfumo wa majaji. Hata JK naye kwa kiasi aliwapa fadhila watu awajua kuwa majaji.

Hawa wanotupita na ma V8 wamechelewa wanawasha vingora wapishwe barabarani sidhani kama wana uweledi kawa wa akina Samatta, Augustino Ramdhani, Jaji Manning etc.
 
Mtu anayeongea kwa dhihaka, matusi na kejeli ni dalili ya kwamba huna hoja ungeuliza kistaarabu nikupe ushahidi ni kwa namna gani Warioba alifanya kazi ya ujaji ingetosha.
 
Mtu anayeongea kwa dhihaka, matusi na kejeli ni dalili ya kwamba huna hoja ungeuliza kistaarabu nikupe ushahidi ni kwa namna gani Warioba alifanya kazi ya ujaji ingetosha.
Kazi ya Ujaji kwa 99% ni kuamua mashauri. Hoja hapa ni kuwa majaji wa zamani walikuwa vipanga na ukipanga wao unapimwa kwa Judgment walizokuwa wanafanya deliberation. Sasa kwenye hiyo list ya hao Judges Nguli mmemweka Judge Warioba. Wewe si Mwanasheria mzee Baba. Lete Judgment za Warioba hapa tuone huo unguli wake.
Ukisema Mwalusanya, Lugakingira, Barinabas, Judgment zao zimetapakaa.
Lete ya Warioba acha Maneno, tuisome tuone unguli wake msee!
 
Kuwa judge ni jambo moja kuwa judge mzuri ni jambo lingine.Hakuna sehemu nimesema Warioba aliwahi kuwa judge mzuri ama mbaya but ushahidi ya kwamba aliwahi kuwa judge nitakupa
 
Kuwa judge ni jambo moja kuwa judge mzuri ni jambo lingine.Hakuna sehemu nimesema Warioba aliwahi kuwa judge mzuri ama mbaya but ushahidi ya kwamba aliwahi kuwa judge nitakupa
Unaona sasa kumbe umeingilia hoja usiyoijua. Comment yangu uliyoinukuu na kujifanya unajua, nilikuwa nahoji Judge Warioba anaingiaje kwenye kundi la Majaji nguli kariba ya Mwalusanya au Lugakingila baada ya mtu mmoja humu kumtaja miongoni mwa majaji Bora.
Ndo nikataka alete Judgment hata moja aliyoandika.
Hata Mimi najua amewahi kuwa Jaji lakini kumuingiza kwenye kariba ya kina Lugakingira mnamuonea tu. Siku nyingine uache ujuaji!
Angalia comment yako ya kwanza!
 
Jullie Manning anaishi Oysterbay na Dada yake Mama Mtawali, mtu na dada yake wanazeeka pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…