Wangapi zamani waliamini Majaji ni watu wenye uwezo mkubwa lakini Sasa wanaanza kuamini kila mtu anaweza kuwa Jaji?

Ndio hayo mimi nashangaa, kwanini tusiache mahakama ifanye kazi? Ikiwa mbowe hana hatia, itajulikana wakati wa utetezi. Kwanini wanaomba rais aifute kesi? Je rais anayo hayo mamlaka?
Sabaya na makonda wakishtakiwa tucheke na kufurahi, akishtakiwa mbowe na lissu wanaonewa? Ina maana hawa ni malaika hawakosei?
 
HV huyu hakimu huruma shaid mbona huwa naona kes nyingi za upizani zinafika kwake Kwanza
 

Acha kupanick dogo, huu ujinga wa kusema eti nyie mnambishia jaji kwani nyie ni wanasheria, naona unashika kasi ya ajabu. Ni sawa na kumuona kocha anayeboronga kisha usiseme kwakuwa sio mcheza mpira. Sisi sio wanasheria, lakini tuna akili timamu, na tunaweza kuona haki ikitendeka.
 

Kwanza kimsingi hatuko hapa kubalance maamuzi ya mahakama, bali tunaangalia utendaji wa haki. Kesi ya Sabaya na Mbowe ni kesi mbili tofauti, na sio za kufanyia ulinganifu. Labda kama upo kama bendera fuata upepo.

Tunaona wazi kinachoendelea huko mahakamani kwenye kesi ya Mbowe kisha tukae kimya. Ni sawa na kutaka watu wakae kimya wamuache dereva aendeshe gari atakavyo eti kwakuwa sisi ni abiria tu.
 
Lakini kelele zako zina impact yoyote kwenye maamuzi ya mahakama? Au unapiga kelele tu!
 
Lakini kelele zako zina impact yoyote kwenye maamuzi ya mahakama? Au unapiga kelele tu!

Huku ni kwenye mitandao ya kijamii na sio mahakamani, sioni shida yoyote sisi kuweka hisia zetu hadharani.
 
Majaji wengi Tanzania wala rushwa ndio maana wasio na hatia wamejaa Jera
 
Jullie Manning anaishi Oysterbay na Dada yake Mama Mtawali, mtu na dada yake wanazeeka pamoja.
Kuna mtoto wa mdogo wake au mjukuu wake mmoja alikuwa Afisa tawala lakini chapombe huwa anapenda kutulia.pale kontena nyuma ya Obay primary alikunywa siku moja akawa anawaza kuuza kile.kiwanja anachokaa jaji manning akihisi wanaweza kupata Usd mil 3. Akili za vijana zinawatosha wenyewe.
 
Machotara wa kijerumani vichwani zimo sana. Huyo dogo akili kisoda, ndio hawa wanafanya kitu halafu anafikiria akishakuwa kafungwa pingu amekaa nyuma ya landrover ya polisi.
 
Majaji walikuwa kina Barnabas SAMATTA walikuwa na HOFU ya MUNGU walisimamia HAKI sio VIMEMO
 
Shida ni jaji anapo kosa morals. Jaji kwangu Mimi na tafsiri kua ni mtu mwenye umahiri na kipawa katika tasnia ya sheria Ila so lazima awe na morals.

Majaji ambao hawana morals ndo wanaosumbua wanyonge.

We angalia jinsi waafrika weusi wanavyo dhulumiwa na wazung huko marekani na majaji wa kizungu walio poteza morals.

Yaani Askari anafyatua risasi kwenye bunduki na kuua mtu hapo hapo halafu anasema eti alikua anadhani ni shot ya umeme, halafu jaji anahukum kifungo miaka miwili!!!
Kwelii, majaji Mungu anawaona.

Hasa huyo tingatinga
 
Majaji wa Tanzania wanajua kusoma na kuandika tu kama wanasiasa TU.

Hawana jipya kabisaaaa hovyooo
 

C&P
good judge possesses several key attributes that contribute to their effectiveness and integrity in the judicial system. Here are some important qualities:


  1. Impartiality: A good judge must remain neutral and objective, ensuring that all parties receive a fair hearing without bias or favoritism.
  2. Integrity: Upholding ethical standards is crucial. A good judge should be honest, trustworthy, and maintain the highest moral principles.
  3. Legal Knowledge: A thorough understanding of the law, including statutes, regulations, and case law, is essential for making informed decisions.
  4. Judicial Temperament: A good judge should exhibit patience, compassion, and respect for all individuals in the courtroom, while maintaining control of proceedings.
  5. Strong Communication Skills: Clear and effective communication is vital for explaining legal concepts, decisions, and court procedures to parties involved.
  6. Analytical Skills: The ability to analyze complex legal issues, evaluate evidence, and apply the law to specific cases is crucial for sound decision-making.
  7. Decisiveness: A good judge must be able to make clear and timely decisions, often under pressure, while considering all relevant factors.
  8. Attention to Detail: Careful consideration of case details, evidence, and legal arguments is important for fairness and accuracy in judgments.
  9. Open-Mindedness: A willingness to listen to different perspectives and consider new evidence or arguments is essential for a fair trial.
  10. Commitment to Justice: A genuine dedication to upholding the law and ensuring justice for all parties involved is fundamental to a judge's role.
These attributes help ensure that judges can effectively perform their duties and maintain public trust in the judicial system.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…