kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,375
- 4,893
Ndio hayo mimi nashangaa, kwanini tusiache mahakama ifanye kazi? Ikiwa mbowe hana hatia, itajulikana wakati wa utetezi. Kwanini wanaomba rais aifute kesi? Je rais anayo hayo mamlaka?Sabaya wala haiukuhutajika kujua kuwa alikuwa ni muovu aliyekuwa anatumikia siasa za kidhalimu za Magu. Na kwa taarifa yako kama hiyo mahakama ingekuwa huru, Sabaya alitakiwa kunyongwa na sio kufungwa. Watu hawaisifii mahakama kwa kumfunga Sabaya, bali wanasema kuna mahali Sabaya alileta dharau kwa chief Hangaya kipindi cha yule kiongozi muovu wa chattle. Hivyo hilo suala la watu kuisifia mahakama kutokana na hukumu wa Sabaya ni ww unasema, Lakini hakuna mtu mwenye akili timamu anaisifia hiyo mahakama ccm.
Sabaya na makonda wakishtakiwa tucheke na kufurahi, akishtakiwa mbowe na lissu wanaonewa? Ina maana hawa ni malaika hawakosei?