Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
AahaaaaKuichakata serekali😂 yani Rais anakuita "Baba" huku anarembua, unafika ikulu unapikiwa kuku😂
Ukiumwa mafua Rais anakupigia simu "pole baba, mwenzako anasema unaumwa" 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AahaaaaKuichakata serekali😂 yani Rais anakuita "Baba" huku anarembua, unafika ikulu unapikiwa kuku😂
Ukiumwa mafua Rais anakupigia simu "pole baba, mwenzako anasema unaumwa" 😂
Hahhaha ila wa tanzania tunavimambo vyetu flan iviKuichakata serekali😂 yani Rais anakuita "Baba" huku anarembua, unafika ikulu unapikiwa kuku😂
Ukiumwa mafua Rais anakupigia simu "pole baba, mwenzako anasema unaumwa" 😂
Kweli...Wapo hivyo tangu JPM akiwa Waziri wa Ujenzi
Hakuna MAPINDUZI....Siku ikitokea samia akapinduliwa ghafla ndio watajua hawajui [emoji1787]
Utakuwa unafuruuumbwaa na vichaa huko ndotoni...Uislam kazi,naona st Anne sijui dompo,binti kalewa anarembua macho tu
Uzushi....Halafu account za benki zimejaa maokoto ya kutosha. Bila kusahau magunia ya cash yaliyopo nyumbani [emoji1787][emoji1787].
[emoji2956][emoji2956][emoji7][emoji7]The first daughter
Majungu si mtaji...Jamaa ana macho ya kibaharia. Lazima awe na michepuko ya hapa na pale
"Kifua chako........."
Maisha lainiiiiNa Mama ake kamuanzishia ngo inapokea mabilioni. Mume ni waziri tamisemi. Ni maposho ya safari, hapo hatujahesabu maokoto ya rushwa za watu wanaoomba tenda tamisemi. Tena kuna maokoto mengine yanamsubiria kwa ajili ya kivumbi cha uchaguzi wa serikali za mitaa. Yaani raaaaha bin raaaaha 🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuichakata serekali[emoji23] yani Rais anakuita "Baba" huku anarembua, unafika ikulu unapikiwa kuku[emoji23]
Ukiumwa mafua Rais anakupigia simu "pole baba, mwenzako anasema unaumwa" [emoji23]
Daaah Ila nimecheka 😂😂😂Kuichakata serekali😂 yani Rais anakuita "Baba" huku anarembua, unafika ikulu unapikiwa kuku😂
Ukiumwa mafua Rais anakupigia simu "pole baba, mwenzako anasema unaumwa" 😂
Walioana liniKula kitu ya mtoto wa mwenye nchi siyo jambo dogo wakuu,Nampa big up sana kaka mkubwa
Alafu kuna mimi ninayetegemea daladala za 500 na bado naiona ni nyingi wakati lc300 kuijaza ma tank yake 2 ni 2.5M 😨😝😝 duu sio poa aseeepesa tamu sana, nje zimepaki LC300 mbili
Wazanzibar hao wote yeye na mumuwe itakuwa aliona wakiwa na 12+ yrsWalioana lini