natumia HISENSE inch 32 nyembamba kama simu ila huibebi kwa mkono mmoja asee
Duh! Fekelo hiyomkuuu hiyo tv inatumia power cable ya namna hii
View attachment 1247896
huo waya tu naweza uvuta nikaukata hauna adapter yani kama unavyoona huu waya ndio ile tv sasa
asee unauza TV kariakooo kama kijakaziWewe ni liongo mimi nauza tv kkoo, huwez pata tv 32inch kwa 200,000 kama unapajua njoo nionyeshe nakupa 50,000 bure. Kingine andiko lako lina chumvi kibao. Na tv unayotumia nna uhakika ni ya miaka ya 2002 huko li lcd lizito.
kama ubora wa tv ni uzito basi nunua chogo maana ni nzito
nimekutumia msg PM naomba nijibu aseeee hiyo 50,000 uje nayo arifWewe ni liongo mimi nauza tv kkoo, huwez pata tv 32inch kwa 200,000 kama unapajua njoo nionyeshe nakupa 50,000 bure. Kingine andiko lako lina chumvi kibao. Na tv unayotumia nna uhakika ni ya miaka ya 2002 huko li lcd lizito.
aseee jibu PM sio unapiga kelele hapaWewe ni liongo mimi nauza tv kkoo, huwez pata tv 32inch kwa 200,000 kama unapajua njoo nionyeshe nakupa 50,000 bure. Kingine andiko lako lina chumvi kibao. Na tv unayotumia nna uhakika ni ya miaka ya 2002 huko li lcd lizito.
Kwani nzito ukiidondosha ndio inawaka? Jamaa unaonekana uko viziri balaa....idondoshe hiyo TV uone kama itawaka
tetea tu ujinga
Kwahio zile nzito 'original' ukiidondosha itawaka sio? Test zako za TV zinafikirisha (kudondosha na uzito)idondoshe hiyo TV uone kama itawaka
tetea tu ujinga
Kiduku lilo unampenda sanaYangu kwa kweli ni nzito
Kiduku Lilo yake sijui itakuwaje maana aliinunua toka Us
nna TCL inatumia power cable kama iyo,, ninayo tangu mwaka 2013,haina tatizo lolote mbona,chai kwa maana hamna tv ya kutumia power cable ya namna hiyo?
umeona eeh,, uyu kula kulala muongo aswaaWewe ni liongo mimi nauza tv kkoo, huwez pata tv 32inch kwa 200,000 kama unapajua njoo nionyeshe nakupa 50,000 bure. Kingine andiko lako lina chumvi kibao. Na tv unayotumia nna uhakika ni ya miaka ya 2002 huko li lcd lizito.