Wanunuaji TV kuweni makini huko madukani, Mchina sio mtu mzuri kabisa

Wanunuaji TV kuweni makini huko madukani, Mchina sio mtu mzuri kabisa

CONTROLA!!

Naunga mkono hoja!!! TV Original za Samsung ni mzito bhana... asikuambie mtu! Nilinunua 55" miezi michache tu iliyopita na ni 2019 Version! Uzito wake haupungui 20kg!! So, there's no way 32" inaweza kuwa chini ya 10kg!!

natoka hapa, mimi sio Ngosha mzee, bali ni Mhaya tena wa Kanyigo!
Dah GT hata wewe una muda wa kununua TV na kuangalia. Now am absolutely convinced as a nation we are doomed!
 
Kama hule wamengi na bakhresa nani ni Tajiri zaidi ya mwengine. Nakumbuka miaka ya nyuma kijiweni mkono ulitembea kwa ajili ya huu ubishi.

Wabogo bana

Kufanya kazi kwa weledi, kujituma na kuzingatia miiko (ethics) ndio itatukomboa
hule ndio nini kiongozi?
 
Hapo ndo unapofeli mkuu mimi nimebadilisha TV ni 43 Inches Samsung toleo la 2010 au 2011 na nikaja kuweka 55 inches Bruhm toleo la 2018 hio 55 iches ni nyepesi sana kuliko hio 43 inches
sawa mkuu

mimi mshamba
 
labda test zangu hazipo ki taalamu

il siwezi nunua tv nyepesi kama Bua
Wagunduzi wanatafiti nanmna ya kupunguza hardware. Nafikiri huko tunapoelekea itakuwa ni kadude tu Unanunua kama tablet unabonyeza batan inakuletea screen isiyoshikika unaadjust upendavyo kwa batan.
 
Back
Top Bottom