enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,109
- 3,677
we jamaa hamnazo ndo wale w simu nzuri lazima iwe kubwa.
Kwani ikiwa nzito ndiyo ukiidondosha inawaka?
The Monk,
mkuuu hiyo tv inatumia power cable ya namna hii
View attachment 1247896
huo waya tu naweza uvuta nikaukata hauna adapter yani kama unavyoona huu waya ndio ile tv sasa
Sasa unaongea !nimehamia upande wako je ukiwasha logo display inasomajesiongelei brand nzuri naongelea uzito
kwanza ile samsung ile logo ya samsung nilipotaka ibandua ikawa inabanduka na logo ya samsung
ina maana ile ni logo imebandikwa tu
Tv haina lengo mkuu !
Mzee usikariri vitu wewe,tembea na teknolojia.Kwani laptop situnatembea nazo kwenye mikoba!,Sasa tv si kuonyesha picha tu na imezidiwa na laptop yenye mambo lukuki!.Jiongeze!.Jana nilipokea simu kutoka kwa rafiki angu mmoja (wa kike) akaniita CONTROLA naomba uje home nisaidie kufunga TV yangu ukutani, nikamtania nikamwambia ''naona umejikakamua umevuta flat, au siyo?'', akanichekea pale basi.
Nikamalizia mambo yangu then nikaenda nikamkuta anaangalia TV. Kweli ilikua ni TV kali sana, Samsung, iko very clear safi kabisa! Basi nikachukua drill langu toboa ukuta andaa matundu then nikafunga bracket, kwisha. Ikafika hatua ya kuchukuwa TV kufunga.
Zile chuma ambazo ndio unazivesha pale ukutani, kwakuwa mtoto wa kike muoga muoga akaniambia CONTROLA njoo ibebe mwenyewe hii TV nisije idondosha bure, nikaenda kwenye meza kuibeba. Asalaleeee! Jamani eeeeeeh, nasema hivi, kama huna hela ya kununua TV, tulizana.
Aseee nimebeba ile TV siandiki uongo ile TV nina uhakika zaidi ya asilimia 100 haijafika nusu kilo, naongelea 500 grams. TV ni nyepesi hata pasi yangu nyumbani ikiwa haina maji sio nyepesi hivyo kwakweli.
Ikabidi nimuulize hii TV umenunua wapi? akanijibu ''Dodoma.Tena imeni-cost, hivyo ibebe kwa umakini'' Nikamuuliza ''Shilingi ngapi?'', akaniambia ni 470,000. Ilikua ni inch 32. Basi sikumuhoji sana nikampongeza kwa kununua TV yake mpya, akanilipa changu, nikasepa.
Aisee kwa ambao mnawaza kwenda madukani kunua hizo flat TV,waombeni hao wauzaji hata mzibebe muone uzito wake. Nimeulizia ulizia kwa watu wangu niambiwa LG flat, inch 32 Samsung (Chinese products) Mtaa wa Congo zinapatikana kwa dollar 100 hivi (kitu kama 230,000) ila kuna maduka Congo TV wanauza mpaka 200,000 inch 32.
Ndio yaleyale ya Tecno kashajua Wabongo wanataka smartphone zenye display kubwa, kaenda kafyatua mi Tecno ina screen kama kiganja.
Ununuzi mwema wa TV.
Acha ubinafsi. Kuna watoto,mke hata kama wewe huangalii kuna wengine.Dah GT hata wewe una muda wa kununua TV na kuangalia. Now am absolutely convinced as a nation we are doomed!
Acha umbea umeitiwa kazi , unachunguza na vingineJana nilipokea simu kutoka kwa rafiki angu mmoja (wa kike) akaniita CONTROLA naomba uje home nisaidie kufunga TV yangu ukutani, nikamtania nikamwambia ''naona umejikakamua umevuta flat, au siyo?'', akanichekea pale basi.
Nikamalizia mambo yangu then nikaenda nikamkuta anaangalia TV. Kweli ilikua ni TV kali sana, Samsung, iko very clear safi kabisa! Basi nikachukua drill langu toboa ukuta andaa matundu then nikafunga bracket, kwisha. Ikafika hatua ya kuchukuwa TV kufunga.
Zile chuma ambazo ndio unazivesha pale ukutani, kwakuwa mtoto wa kike muoga muoga akaniambia CONTROLA njoo ibebe mwenyewe hii TV nisije idondosha bure, nikaenda kwenye meza kuibeba. Asalaleeee! Jamani eeeeeeh, nasema hivi, kama huna hela ya kununua TV, tulizana.
Aseee nimebeba ile TV siandiki uongo ile TV nina uhakika zaidi ya asilimia 100 haijafika nusu kilo, naongelea 500 grams. TV ni nyepesi hata pasi yangu nyumbani ikiwa haina maji sio nyepesi hivyo kwakweli.
Ikabidi nimuulize hii TV umenunua wapi? akanijibu ''Dodoma.Tena imeni-cost, hivyo ibebe kwa umakini'' Nikamuuliza ''Shilingi ngapi?'', akaniambia ni 470,000. Ilikua ni inch 32. Basi sikumuhoji sana nikampongeza kwa kununua TV yake mpya, akanilipa changu, nikasepa.
Aisee kwa ambao mnawaza kwenda madukani kunua hizo flat TV,waombeni hao wauzaji hata mzibebe muone uzito wake. Nimeulizia ulizia kwa watu wangu niambiwa LG flat, inch 32 Samsung (Chinese products) Mtaa wa Congo zinapatikana kwa dollar 100 hivi (kitu kama 230,000) ila kuna maduka Congo TV wanauza mpaka 200,000 inch 32.
Ndio yaleyale ya Tecno kashajua Wabongo wanataka smartphone zenye display kubwa, kaenda kafyatua mi Tecno ina screen kama kiganja.
Ununuzi mwema wa TV.
Kwako we we TV bora ni ile nzito?Jana nilipokea simu kutoka kwa rafiki angu mmoja (wa kike) akaniita CONTROLA naomba uje home nisaidie kufunga TV yangu ukutani, nikamtania nikamwambia ''naona umejikakamua umevuta flat, au siyo?'', akanichekea pale basi.
Nikamalizia mambo yangu then nikaenda nikamkuta anaangalia TV. Kweli ilikua ni TV kali sana, Samsung, iko very clear safi kabisa! Basi nikachukua drill langu toboa ukuta andaa matundu then nikafunga bracket, kwisha. Ikafika hatua ya kuchukuwa TV kufunga.
Zile chuma ambazo ndio unazivesha pale ukutani, kwakuwa mtoto wa kike muoga muoga akaniambia CONTROLA njoo ibebe mwenyewe hii TV nisije idondosha bure, nikaenda kwenye meza kuibeba. Asalaleeee! Jamani eeeeeeh, nasema hivi, kama huna hela ya kununua TV, tulizana.
Aseee nimebeba ile TV siandiki uongo ile TV nina uhakika zaidi ya asilimia 100 haijafika nusu kilo, naongelea 500 grams. TV ni nyepesi hata pasi yangu nyumbani ikiwa haina maji sio nyepesi hivyo kwakweli.
Ikabidi nimuulize hii TV umenunua wapi? akanijibu ''Dodoma.Tena imeni-cost, hivyo ibebe kwa umakini'' Nikamuuliza ''Shilingi ngapi?'', akaniambia ni 470,000. Ilikua ni inch 32. Basi sikumuhoji sana nikampongeza kwa kununua TV yake mpya, akanilipa changu, nikasepa.
Aisee kwa ambao mnawaza kwenda madukani kunua hizo flat TV,waombeni hao wauzaji hata mzibebe muone uzito wake. Nimeulizia ulizia kwa watu wangu niambiwa LG flat, inch 32 Samsung (Chinese products) Mtaa wa Congo zinapatikana kwa dollar 100 hivi (kitu kama 230,000) ila kuna maduka Congo TV wanauza mpaka 200,000 inch 32.
Ndio yaleyale ya Tecno kashajua Wabongo wanataka smartphone zenye display kubwa, kaenda kafyatua mi Tecno ina screen kama kiganja.
Ununuzi mwema wa TV.
No GT napingana vikali na wewe. Yani watoto unawaendekeza anasa kwa kuangalia TV? taifa la kesho? Tumekwisha!Acha ubinafsi. Kuna watoto,mke hata kama wewe huangalii kuna wengine.