Wanunuaji TV kuweni makini huko madukani, Mchina sio mtu mzuri kabisa

wale wabishi naomba rudieni kusoma huu uzi mwanzo mwisho
 
Wana JF kwa mwenye uhitaji wa 32 inch TV lg tv namkaribisha sana sana sana
 
Kuna fundi mmoja wa Madish amenishauri mara kadhaa nitafute & ninunue "TV za MO" yaani zinazosambazwa na Mohamed Enterprises kwamba ni Imara sana. Je kuna mtu yeyote anayejua chochote au kuziona & kuzitumia hizo TV? Je huo ubora nilioambiwa ni kweli?

Ahsante
 
Saint Ivuga

naomba niitieni troublemaker na wenzake wabishi wabishi wote mje mniungishe TV
Bahati mbaya sihitaji kwa sasa.

Hata hivyo hilo sio tatizo 32" kwa sasa unapata hata kwa lak 3. Tv zimeshuka bei.
Hiyo 32 za lg nina uhakika ni ukanjanja. Ingekuwa brand pure ya mchina ningeweza hata kumnunulia mtu zawadi.

Umesahau picha mkuu🙄
 
Kuna fundi mmoja wa Madish amenishauri mara kadhaa nitafute & ninunue "TV za MO" yaani zinazosambazwa na Mohamed Enterprises kwamba ni Imara sana. Je kuna mtu yeyote anayejua chochote au kuziona & kuzitumia hizo TV? Je huo ubora nilioambiwa ni kweli?

Ahsante
Mo electro ziko vizuri nadhani mtengenezaji ni lg(Nb, sina hakika) nilikuwaga na rice cooker lake nilitumia mpaka nilichoka mwaka jana nikauza. Nilinunua 2016 sabasaba.
 
Nashukuru mkuu troublemaker kwa maelezo mazuri. Hebu niambie wapi hizi bidhaa zinakouzwa?

Note: Naona matango mengi ya Mo electro ILA sijui wapi naweza kupata zile ambazo SIO Mo electro tv ZA Kichina

Ahsante
 
Mimi sipingani na hizo bei unazosema, kwa kuwa ninaelewa mjini ni shule na elimu haina mwisho.

Ila aliyehisi kuwa wewe ni 'ngosha', alilenga mulemule, anastahili sifa, kapatia!

Hakuna kitu wasugusu wanapenda kama vitu vizito, bila kujali brand ya product!

Wewe wapelekee hata ma fekelo ili mradi yawe ni mazito, watayagombania.

Saa nzito, baiskeli nzito, radio nzito, mwanamke ngunguhu, ng'ombe mzito nk nk.

Hizo kakupatia ni sifa zako, usimnange wala nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sipingani na hizo bei unazosema, kwa kuwa ninaelewa mjini ni shule na elimu haina mwisho.

Ila aliyehisi kuwa wewe ni 'ngosha', alilenga mulemule, anastahili sifa, kapatia!

Hakuna kitu wasugusu wanapenda kama vitu vizito, bila kujali brand ya product!

Wewe wapelekee hata ma fekelo ili mradi yawe ni mazito, watayagombania.

Saa nzito, baiskeli nzito, radio nzito, mwanamke ngunguhu, ngombe mzito nk nk.

Hizo kakupatia ni sifa zako, usimnange wala nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
dah Sakasaka Mao sawa tuuu mimi Fid kyuuu
 
Back
Top Bottom