nimechekaNikisema mtaona napenda ukabila
Ila bila kumung'unya maneno wewe mleta ni ngosha.
Ubora wa kitu unapimwa kwa uzito? Unazungumziaje uzito wa laptop na desktop computer?
Wasalimie Misungwi
Huenda ikawa na cement kwa ndani.natumia HISENSE inch 32 nyembamba kama simu ila huibebi kwa mkono mmoja asee
nikikuonyesha tv iliyodondoka zaidi ya mra 5 kwa sababu ya mezaKwani nzito ukiidondosha ndio inawaka? Jamaa unaonekana uko viziri balaa....
acha hizo, huwezi fanya kazi 24 hrs per week, Mungu mwenyewe alipumzika sembuse wewe kiumbe dhaifuHuo mda wa kununua tv nakuangalia mnautoa wapi? Kama taifa tunaenda wapi jamani wa Tanzania wenzangu?
Fanyeni kazi
Kiduku lilo unampenda sana
Hii nchi bado kabisa siyo wakati waanasa anasa watu lazima wafanye kazi mda wa kuangalia tv siyo sasasl hivi. Wa Japan baada ya vita kuu ya pili hawakuendekeza upuuz watu walikuwa wanapiga mzigo huo mda wa tv wenyewe walikuwa wanalala.acha hizo, huwezi fanya kazi 24 hrs per week, Mungu mwenyewe alipumzika sembuse wewe kiumbe dhaifu
jibu la swali nalijua ila sijui niliwekeje
Lengo la tv ni nini?
Kwahio zile nzito 'original' ukiidondosha itawaka sio? Test zako za TV zinafikirisha (kudondosha na uzito)
Nikisema mtaona napenda ukabila
Ila bila kumung'unya maneno wewe mleta ni ngosha.
Ubora wa kitu unapimwa kwa uzito? Unazungumziaje uzito wa laptop na desktop computer?
Wasalimie Misungwi