Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Ok brother..... Ngoja niifute hiyo namba then ulivyo ni quote ufute maake majangili wengi humu ππNtakucheki anytime
Tayari mkuu ππOk brother..... Ngoja niifute hiyo namba then ulivyo ni quote ufute maake majangili wengi humu ππ
sawa kaka Haina shida..... xmas imeisha tyr πTayari mkuu ππ
Jumatano ndiyo imeshapita hivyo mkuu πsawa kaka Haina shida..... xmas imeisha tyr π
zile pombe ulinitoa povu π pale ungenirkea Heineken za barrrriiidiii πΊπΊ....Jumatano ndiyo imeshapita hivyo mkuu π
Zilikiwepo, Tulizitafuna sana!! πzile pombe ulinitoa povu π pale ungenirkea Heineken za barrrriiidiii πΊπΊ....
Kujipongeza hakuishi ikitokea nafas basi vyombo muhimu kaka
Uligoma kunifanyia delivery hata dogo lako nipate moja nipate usingizi kaka mbaya wewe ππZilikiwepo, Tulizitafuna sana!! π
Mkuu muda bado, we tulia, utarudi home unatambaa π πUligoma kunifanyia delivery hata dogo lako nipate moja nipate usingizi kaka mbaya wewe ππ
Hahaha daah hapo saa unatak uniue kaka, πMkuu muda bado, we tulia, utarudi home unatambaa π π
Poa mkuu, Tupoo ππHahaha daah hapo saa unatak uniue kaka, π
Nazikubali πΊ
Nakubali kaka,Poa mkuu, Tupoo ππ
βπΏβπΏβπΏNakubali kaka,
Usinitenge young killer wako hapa, aseeh π π
Hapana wanaenda kutap from the source, baraka halis hutoka arth uliyozaliwa.Wachaga wanaenda kuonyeshana tu ubabe wa hela. Wachaga mafukara wana wakati mgumu sana huko migombani. Huko Machame na Marangu kwa muda huu utakuta kuna kijana mdogo kakaa kwenye kiti halafu watu wazima wakiwa wamekaa chini huku kukiwa kuna mtu mzima kaambiwa aachie kiti iwekwe ndoo ya mbege.
Ikufikie popote ulipo Mikoa 10 inayoongoza Kwa Ujenzi Holela (Squatters) Kwa TanzaniaChoiceVariable atalia sana kwa kauli hii