Wanyakyusa: Mbadilike na nyie muwe mnaenda kwenu wakati wa sikukuu za mwisho wa mwaka. Kwenu mbona kuzuri kama Moshi tu au mlifukuzwa?

Wanyakyusa: Mbadilike na nyie muwe mnaenda kwenu wakati wa sikukuu za mwisho wa mwaka. Kwenu mbona kuzuri kama Moshi tu au mlifukuzwa?

Unataka kwenda kijijini mwezi wa 12? Kule watu wanapiga kazi za shamba miezi hii, nenda at your own risk, asubuhi utaamkia 'kulusoko' kuvuruga matuta ya viazi ili watu wapande mpunga.
 
zile pombe ulinitoa povu ๐Ÿ˜‚ pale ungenirkea Heineken za barrrriiidiii ๐Ÿบ๐Ÿบ....

Kujipongeza hakuishi ikitokea nafas basi vyombo muhimu kaka
Zilikiwepo, Tulizitafuna sana!! ๐Ÿ˜‚
 
Wachaga wanaenda kuonyeshana tu ubabe wa hela. Wachaga mafukara wana wakati mgumu sana huko migombani. Huko Machame na Marangu kwa muda huu utakuta kuna kijana mdogo kakaa kwenye kiti halafu watu wazima wakiwa wamekaa chini huku kukiwa kuna mtu mzima kaambiwa aachie kiti iwekwe ndoo ya mbege.
Hapana wanaenda kutap from the source, baraka halis hutoka arth uliyozaliwa.
 
Back
Top Bottom