Wanyakyusa: Mbadilike na nyie muwe mnaenda kwenu wakati wa sikukuu za mwisho wa mwaka. Kwenu mbona kuzuri kama Moshi tu au mlifukuzwa?

Wanyakyusa: Mbadilike na nyie muwe mnaenda kwenu wakati wa sikukuu za mwisho wa mwaka. Kwenu mbona kuzuri kama Moshi tu au mlifukuzwa?

Watu wa mbeya hawapendi kurudi kwao sababu kuna baridi na upepo mbaya ndiyo maana wengi hujenga na kuweka makazi mikoa mingine, mwaka juzi nilienda mbeya kwa jamaa yangu nilipanga kukaa wiki lakini siku mbili tu zilitosha sikuwa na hamu tena na mbeya sikupapenda Kwa kweli kuoga mpaka uchemshe maji kulala mpaka blanketi mbili sina hamu na mbeya
Mbeya ya msafwa kyela na tukuyu ya mnya kyusa
 
Back
Top Bottom