Wanyarwanda wenye influence na siasa za Tanzania hapa panawahusu

Asilimia kubwa tukichambuliwa mkoa Huu wengi ni wahamiaji tokea Rwanda ndo maana Nyerere alituzinga tusijepata rais pande Hii coz hima empire itakuwa rasmi imefufuliwa
Unajua watu wana kale kaentitlement ...wanadhani kuwa rais ndio lengo... Ile sio sifa ... Heshima ni kulitunza taifa na misingi yake kwa miaka mingi... Kule kwetu kutokana na muingiliano.. Ni kazi sana kuprove authenticity ya watu wake na mbaya zaidi hakipo kifaa cha kupima loyalty ya MTU... Na tabia ya kuwa sleepers imedumu Kule kwa karne nyingi mno..

Kama tunapenda ustawi Wa taifa letu basi inabidi tuwekeze kwenye kuwaandaa watoto kizalendo na kuilinda mipaka..na hili lifanywe na general population.. Wawe wa kwanza kuibua wahamiaji haramu kwa upendo.. Na kimfumo tuwatambue wapo wapi na wanafanya nini... Labda generation mbili mbele hii threat tunaweza kuizima. Ila kwa sasa bado ni tatizo.
 
Africa is One!
Africa must unite!

Kama siyo mipaka ya Kikoloni hii mada isingekuwepo.


Mkoloni ndiye aliyemfanya Mmachame na Mkibosho waishi mkoa mmoja na nchi moja.
Mkoloni na mfumo wake ndio aliyefanya Mnyamwezi na Myao wawe chini ya kiongozi mmoja na nchi moja.
Kabla ya huu mfumo wa kikoloni kuja Afrika hata kuoana kati ya Mnyakyusa na Mrangi haingewezekana.

Kabla ya Mkoloni Kibosho na Machame ilikua ni dunia mbili tofauti kabisa.

Sio kila kilicholetwa na mkoloni ni kibaya.
Ubaya wa mtawala yeyote awe mkoloni mweusi au mweupe ni kukiuka haki,uhuru,utu na mawazo ya watu anaowatawala.

Ukifuatalia kwa ukaribu utagundua kuwa machifu kabla ya kuja wakoloni walikua ni watu katili sana kuliko hata hao wakoloni na hakuna maendeleo yoyote waliyokuwa wanafanya zaidi ya kupigana vita na kuibiana mifugo na wanawake.


Mkoloni ndiye leo anayetaka kuifanya dunia kuwa kijiji kimoja na watu waishi wanapotaka kidemokrasia japo bado kuna wajima wanaoipuuza demokrasia na kuendekeza ukabila huku wao wakitaka kutawala makabila mengine lakini wao hawapo tayari kutawaliwa na hayo makabila mengine.
Wanyarwanda sio watu salama sana kwa Taifa letu kwa sababu ya tabia zao za kibaguzi.
 
TUONE UKABILA WENU NA UJINGA WENU HUKU! MMELAANIWA NINI! TANZANIA HATUNA UJINGA HUO
 
resources can easily be shared under a united paradigm.
if you have your food and i have my own food, if we share and eat together then everyone is guaranteed to eat more than one type of food
You lack suffice resources, but you need my resources to get equally shared amongst you ?

- Bring your own creyfish, then we mix it together.
- Mine can never be equally divided amongst you while yours remains in your pocket

CASE: LAND
 
Wakoloni hadi leo wanatafuna akili zetu, mipaka ni usumbufu nanichanzo kikubwa cha vita na vurugu Afrika
 
Hivi unafkiri ni rahisi Mkikuyu kuingia Arusha au klmanjro kama ilvyo huko Kagera?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Apa hatojibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…