Wanyarwanda wenye influence na siasa za Tanzania hapa panawahusu

Kuna yoyote anayezungumzia criminals hapa?. Hapa tunazungumzia impostors wa kibanyamulenge, posing as Tanzanians.

P.
Ukisema wanajipenyeza kupata power kama watu wengine wanazuiwa haileti maana. Wote tuna nafasi sawa. Mtu akilala usimuamshe...ila haya maandishi ya namna hii yanaleta chuki na kuwaga watu. Kama hakuna ukweli anayeyasambaza anastahili kuwajibika

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
sio mimi ninayesema wanajipenyeza to the positions of power, bali walikuwepo, hadi jeshini, walipobainika wamejulikana, walikimbia wenyewe na wengine walifukuzwa, tatizo sasa ni wale waliolowea, kuzaliwa, kusomea na kuzungumza lugha za wenyeji ambao ni very hard to detect.

Paskali
 
Mhh,,,,,,,,,,,,,,,,,,sawa
 
We do not have an immune from the world of espionage. Kuna taarifa zinaibwa na wageni, wazawa walionunuliwa na hata wengine kwa sababu ya itikadi zao au imani za kisiasa. Inatokea hivyo Marekani, Israel, Russia na kwingineko.

Kwanini tunafikiria wao ni threat zaidi ya tamaa ya madaraka, kutowajibika na kunakoonyeshwa na baadhi yetu? Mbona baadhi yetu walipopewa madaraka wakaleta hatari sababu ya kujipendelea waziwazi wao na familia zao?

Kabla ya kuamua kwa baadhi yetu kwamba hii ndio karata ya kutuvusha kisiasa kipindi hiki, vema tuangalie changamoto zake baadae.

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
ongea kiswahili,mada yote ipo kiswahili na wa tanzania wanachangia kwa kiswahili fasaha acha ulimbukeni wa kinyarwanda hapa
Unachekesha sana. Kila asiyekubaliana na hoja hii dhaifu unamuita mnyarwanda. Siasa zenu za majungu na fitna hazitawapeleka mnakotaka kufika.

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 

Hizi chuki tulizonazo kwa watu wenye asili ya nchi jirani tuengezielekeza kwa mafisadi wanaotukwamisha maendeleo. Tungekuwa mbali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…