Wanyarwanda wenye influence na siasa za Tanzania hapa panawahusu

Mkuu Mayalla Naunga Mkono Hoja Ya Brittanica Hawa Wanyarwanda Wameshajipenyeza Sana Hasa Hasa Kwenye Sekta Ya Elimu Hususani Vyuoni na HighSchools Sijui Serikali Imejipangaje Kupambana Na Hawa Watu Hatari.
 
Huyo unayempa big up ana asili ya huko?
 
Mayalla Uko Sahihi Jeshini Kuna Jamaa Mmoja Alikuwa Anaitwa Lt col Celestine Seromba!!
 
Mkuu Mayalla Naunga Mkono Hoja Ya Brittanica Hawa Wanyarwanda Wameshajipenyeza Sana Hasa Hasa Kwenye Sekta Ya Elimu Hususani Vyuoni na HighSchools Sijui Serikali Imejipangaje Kupambana Na Hawa Watu Hatari.
Mkuu Gianluigi Lentini, hakuna nchi iliyopata maendeleo kwa kuwategemea watu wake pekee, hivyo wahamiaji ni watu muhimu sana, hata hao wahamiaji haramu, ila wanapojipenyeza kwenye uongozi na kujifanya ni Watanzania, ni hatari sana kwa usalama wetu.

Paskali
 
Utamkataliaje mtoto wa muhamiaji ambaye ni mtanzania kwa kuzaliwa asiwe kiongozi?
 
Kato, mkazi wa kagera ambaye mama alikuja kuolewa na msukuma nae akawa msukuma na kuchukia kabila lake la ukoo wa wazira nkende ambao kigoma, rwanda na burundi kuna wazira nkende au wajiji wazira nkende.
ohooo!!!
 
Umesomeka na hongera sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…