Wanyiha, ni watu wagumu sana mapenzini. Acha waoane wao kwa wao

Hizo tabia zipo kwa makabila yote, mimi niliwahi kufanyiwa km ulivyofanyiwa na mnyakyusa.!!
 
Hizo tabia zipo kwa makabila yote, mimi niliwahi kufanyiwa km ulivyofanyiwa na mnyakyusa.!!
Hapana wanyiha wana roho mbaya mwenye Truck na Bus la Shalom ni Mzambia asili yake ni Mnyiha basi na abiria nao wakawa wanajifanya wana haki kwenye kupakiliwa mizigo kuliko watu wengine mpaka wakawa wanachukiwa na Wazambia, Mimi Watanzania nawajua vizuri nikisema hao watu sio namaanisha wana vitu vingi vya ajabu ajabu tu..
 
Kule wanaita "Kunyika" halafu kuna "Ikuti" hao Manyamanyafu ni wale Wandali wachawi sugu waliotoka Undali-Ileje wakahamia Unyakyusani so wanakuwa termed kama Wanyakyusa sababu ya generation zao kuhamia Unyakyusani.
Kunyika na Ikuti upo sahihi nimefika huko pana watu wenyewe wanawaita "Wasisya"wakimaanisha wazito ni wazito kweli...
 
Mh kwa namna hiyo mbona hata wanyama wana afadhali sasa.
 
Niliambiwa mnyiha aliwahi mfukia/kumzika machina akiwa hai kwa greda akiwa anajenga barabara huko Chunya; machina alikuwa anakwamisha dili la mnyiha kuuza mafuta, mnyiha akamwambia machina amwelekeze namna nzuri ya kung'oa mti, ile machina anamwelekeza jamaa akachota ugongo akamzika, akafyonza mafuta na kutokomea.
Kama kuna mnyiha amekudhulumu mjini, usimfuatilie kwao Mbozi kudai, ukifika tu wanakupokea kwa ungwana kabisa, wanakunyesha sumu ya mamba wanazoua mto Songwe.
 
Ila jamaa ni pretenders sana hujifanya ni innocent kumbe ni hatari tupu .Uchunaji wa ngozi uliuchafua sana mkoa wa mbeya ukikutana nao ni wanyenyekevu sana kwenye salamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…