Dah! Pole sanaNilipindua gari eneo la mlowo waligoma kunisadia kulitoa ilibidi niendeshe mwenywe pmj na kuwa majeraha
Alikuja jamaa mmoja mnyia alitaka kufuta kesi polic kwa laki 800 nikamgeuka nikLipa laki 500 kesi ikafutwa
Kuna yule tajiri Wao anaitwa full doz Bado YukoHapana wanyiha wana roho mbaya mwenye Truck na Bus la Shalom ni Mzambia asili yake ni Mnyiha basi na abiria nao wakawa wanajifanya wana haki kwenye kupakiliwa mizigo kuliko watu wengine mpaka wakawa wanachukiwa na Wazambia, Mimi Watanzania nawajua vizuri nikisema hao watu sio namaanisha wana vitu vingi vya ajabu ajabu tu..
Ni zaidi ya balaa, kuna watu wana roho mbaya..!! Yani anaona magodoro muhimu kuliko uhai wa mtu mwingineHuku wanamwona jamaa bila kutoa msaada!?!! Basi ni balaa
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787]Jamaa wana lafudhi fulani muruwa sana ila daah ndovile tena. mambo yao sio kabisa. miaka ya 2000 mwanzoni walikuwa wanakamatwa sana na ngozi za binadamu na apo ndo nilipojua ngozi ya binadamu haina tofauti sana na hii ya mbuzi au ng'ombe
Kama naona wakati dereva analalamika kuokolewa ila jamaa brain zimejaa godoro muda huoNi zaidi ya balaa, kuna watu wana roho mbaya..!! Yani anaona magodoro muhimu kuliko uhai wa mtu mwingine
Ndio haohaoHilo kabira ndio nalisikia leoo..
Kuna jamaa wa mbeya kabila sijui, tulikua tunasoma naye, kuna siku tukapishana, tukazinguana palee, nikajua imeisha..
Khaaa, Jioni Napiga zangu msuli, jamaa kumbe kavunja kuti anakuja kunipiga nalo,
Nilisikia tuu wana wanapiga kelele "........, kwepaaaa...' daadeki, ile nasogea tuu usawa wa kichwa, likatua kwenye calculator, niliona batan tuu chini,
Sasa sijui ndio hao, maana sio mnyakyusa.
Awali ya yote napenda kumshukuru mama Samia kwa kuzidisha vituo vya polisi kila kata na kufanya tuwe na amani hatusikii tena matukio ya Wanyiha wa Songwe.Ni watu wa wilaya ya Mbozi, Songwe mkoani .
Ndio kabila la kina Lucas Mwashambwa
Aliwatupia mpk kichuma wamsaidie kuvunja mlango ili atoke lakini waligoma wakaona atawaharibia kuiba..!! Alichofanya alipigia simu familia yake kwamba anakufa na akavitupa vitambulisho vyake gari iliwaka na moto akiwa ndani.!!Kama naona wakati dereva analalamika kuokolewa ila jamaa brain zimejaa godoro muda huo
Mbozi, SongweToa location 😎
Nadhani atakuwepo maana sipo pande hizo zaidi ya miaka 15 nafanya kupita tu Tunduma sasa hivi nikitoka kwa Kaburu na kuelekea home...Kuna yule tajiri Wao anaitwa full doz Bado Yuko
Lucas Mwashambwawanadamu wote ni wabaya kama hawajaokoka. ila kiukweli ukiwachukua wale wasiomjua Mungu, weka hapa makabila mawili tu, kabila la wanyiha na warangi, ndugu yangu kimbia kwa nguvu zako zote ulizojaliwa. utanishukuru. ila wakimjua Mungu labda, la sivyo, nimeishi maisha mengi na maeneo mengi, sijawahi kuona watu kama hawa wawili.
Watu wa Mbeya hao.Wapo Tanga bila shaka
Wanyamanyafu asili yao ni sumbawanga huko ila waliingia Mbeya miaka ya zamani sana baada ya kufukuzwa huko ndo wakajichimbia Ikuti huko ndo maana utaona kwa makabila mengi ya Mbeya kuanzia Wanyiha,wandali, wanyaki, wamalila kuna masalia ya hao jamaa.Kule wanaita "Kunyika" halafu kuna "Ikuti" hao Manyamanyafu ni wale Wandali wachawi sugu waliotoka Undali-Ileje wakahamia Unyakyusani so wanakuwa termed kama Wanyakyusa sababu ya generation zao kuhamia Unyakyusani.
Mkuu, ingekuwa hivo basi lazima na kwa Wasafwa wangekuwemo, hao ni Wandali waliohamia Unyakyusani ndio wakaleta hiyo shida ya uchawi uliokithiri.Wanyamanyafu asili yao ni sumbawanga huko ila waliingia Mbeya miaka ya zamani sana baada ya kufukuzwa huko ndo wakajichimbia Ikuti huko ndo maana utaona kwa makabila mengi ya Mbeya kuanzia Wanyiha,wandali, wanyaki, wamalila kuna masalia ya hao jamaa.