The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Mitano tena... Hadi iishe tutakuwa ZimbabweMfumuko wa bei unaendelea kuongezeka katika bidhaa za ujenzi mfano cementi ilikuwa sh 15000 sasa hivi tunanunua sh 30000. Bati ilikuwa bandari sh 260000 sasa hivi 300000.mamlaka zinazohusika zifanyie kazi hili
Wewe unaishi kwa shemeji yako huwezi kuelewa haya mambo. Unasubiri mume wa dada yako akulishe utajuaje bei ya simenti?Watu mnakuza mambo ili ionekane vibaya nchi yetu!!! Acheni!!!
Subiri 2025Nilikua najenga ka servant quotta kangu imebidi niache, simenti imetoka 18,500 hadi 24,000.
CCM hata tukiwapa miaka 500 hakuna kitu cha maama watatufanyia.
Wakikuza inaonekana vibaya au vizuri?!Watu mnakuza mambo ili ionekane vibaya nchi yetu!!! Acheni!!!
Hujui maana ya uchumi wa kati? Mbona zamani cement tulinunua sh 20 kwa mfuko, wakati unabadilika acha kulialia.Mfumuko wa bei unaendelea kuongezeka katika bidhaa za ujenzi mfano cementi ilikuwa sh 15000 sasa hivi tunanunua sh 30000. Bati ilikuwa bandari sh 260000 sasa hivi 300000.mamlaka zinazohusika zifanyie kazi hili
Vijana hamjitokezi katika uchaguzi!! Mna Kuwa wa kwanza kusema uchaguzi feki!!tutaanza kuwachukulia hatua!Mfumuko wa bei ni kitu kibaya sana, ukitokea hapa kwetu ukichukulia na hali mbaya za watanzania wengi zilivyo kiuchumi, hakika tutateketea.
Hapo bado hatujawekewa vikwazo vya kiuchumi na mabeberu kwasababu ya ule uchaguzi feki uliofanyika, mbona tunakwenda kuwa Zimbabwe.
23,0000 unaona ni kawaida? Halafu haya makampuni ya sementi kucheza na soko kwa kuamua kuumiza watu wa miji fulani haijakaa sawa. Bahati mbaya watu wako busy kusubiri viapo. Hawa inapaswa wawe wanapewa adhabu retrospective.mkoa gani maana niko mwisho wa tz ila ni 230000
Mfumuko wa bei unaendelea kuongezeka katika bidhaa za ujenzi mfano cementi ilikuwa sh 15000 sasa hivi tunanunua sh 30000. Bati ilikuwa bandari sh 260000 sasa hivi 300000.mamlaka zinazohusika zifanyie kazi hili
Nilikua najenga ka servant quotta kangu imebidi niache, simenti imetoka 18,500 hadi 24,000.
CCM hata tukiwapa miaka 500 hakuna kitu cha maama watatufanyia.
Mfumuko wa bei unaendelea kuongezeka katika bidhaa za ujenzi mfano cementi ilikuwa sh 15000 sasa hivi tunanunua sh 30000. Bati ilikuwa bandari sh 260000 sasa hivi 300000.mamlaka zinazohusika zifanyie kazi hili
viwanda vimepunguza uzalishaji makusudi mwanzo walisingizia uchaguzi.
Ila sasa naona wamenogewa na hizo Bei.
NI aibu cement inatoka hapo wazo lakini dar na bagamoyo HAKUNA cement.
Mimi nailaumu serikali.kwanini wasimruhusu dangote awanyooshe wale twiga cement?
Twiga cement kalewa sifa anafanya anavyotaka yeye.mara umeme umekatika,Mara wanafanya usafi wanazima mitambo,Mara wanafanya matengenezo yaani tafrani.
Mpaka nyati nao wameanza kuiga huu mtindo wa twiga.
Mfumuko wa bei ni kitu kibaya sana, ukichukulia na hali mbaya za watanzania wengi zilivyo kiuchumi, hakika tutateketea.
Hapo bado hatujawekewa vikwazo vya kiuchumi na mabeberu kwasababu ya ule uchaguzi feki uliofanyika, mbona tunakwenda kuwa Zimbabwe.
HAKUNA mfumuko wa Bei wowote uliotokea.
Hii NI njama ya viwanda kuhujumu uchumi.
TATIZO SIO BEI YA CEMENT TATIZO HAIPATIKANI.bora cement ipande lakini ipatikane.sasa cement hamna ndo maana u aona Bei imepanda.lakini HAKUNA mfumuko wa Bei.
Wamepunguza uzalishaji makusudi.
Kupunguza uzalishaji Ili bei ipande na kodi ipande, kama jinsi Sukari ilivyopanda kinyemela kutoka sh 1800------3000. Na serikali ipo kimya kama haioni.[emoji1307][emoji1787]
We are suffocating, we cannot make the alternative choice in a ballot box nor demonstrating our voice.Kupunguza uzalishaji Ili bei ipande na kodi ipande, kama jinsi Sukari ilivyopanda kinyemela kutoka sh 1800------3000. Na serikali ipo kimya kama haioni.✊🏻🤣