Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Ni makampuni ama serikali yako imeweka makodi lukuki?23,0000 unaona ni kawaida? Halafu haya makampuni ya sementi kucheza na soko kwa kuamua kuumiza watu wa miji fulani haijakaa sawa. Bahati mbaya watu wako busy kusubiri viapo. Hawa inapaswa wawe wanapewa adhabu retrospective.
kwamba uliwasaidia mtaji?23,0000 unaona ni kawaida? Halafu haya makampuni ya sementi kucheza na soko kwa kuamua kuumiza watu wa miji fulani haijakaa sawa. Bahati mbaya watu wako busy kusubiri viapo. Hawa inapaswa wawe wanapewa adhabu retrospective.
Uchumi mbaya ni kwako tu, tz tuko uchumi wa kati mfuko wa siment hata uuzwe elf 50 watz wengi tu tutamudu kununua!Mfumuko wa bei ni kitu kibaya sana, ukichukulia na hali mbaya za watanzania wengi zilivyo kiuchumi, hakika tutateketea.
Hapo bado hatujawekewa vikwazo vya kiuchumi na mabeberu kwasababu ya ule uchaguzi feki uliofanyika, mbona tunakwenda kuwa Zimbabwe.
Kwani unafikiri wana mapenzi mema na wananchi? Hawa wapo kwa ajili ya matumbo yao tu.Nilikua najenga ka servant quotta kangu imebidi niache, simenti imetoka 18,500 hadi 24,000.
CCM hata tukiwapa miaka 500 hakuna kitu cha maama watatufanyia.
TorontoHio ndio California tuliyoahidiwa
Comment Mujarabu Wakati HuuMazuzu yatapinga wakati yanaumia ndani kwa ndani
Kwenye magodown huko inasemekana cement inatolewa kwa vi noteviwanda vimepunguza uzalishaji makusudi mwanzo walisingizia uchaguzi.
Ila sasa naona wamenogewa na hizo Bei...
Kosea Kuoa Lakini Siyo Kuchagua Ukikosea Kuchagua Ni Mpaka Baada Ya Miaka MitanoInapaswa ipande zaidi ya hapo kwa sasa.Hata ikifika laki itakuwa bado bei ya chini..
Mkuu kuna mambo ambayo sijawahi shangaa nikisikia watu walalamika kuhusu mfumuko wa bei huwa sielewi hata kidogo.Kosea Kuoa Lakini Siyo Kuchagua Ukikosea Kuchagua Ni Mpaka Baada Ya Miaka Mitano
Haaπππ ππππππ
Kwenye magodown huko inasemekana cement inatolewa kwa vi note
Kama hatufanyi kazi unatulisha wewe au watoto wetu unasomesha wewe?Fanyeni kazi acheni kulialia!!