Wanywa pombe kali huwa mnajiuliza swali hili mkiwa mnakunywa?

Jitahidi sana mkuu. Juz tumetoka kuzika jamaa yetu na sio kwamba alikua na shida kimaisha alikua na kazi nzuri tu..
Embu kaa chini utafakar mkuu, kwamba wewe unaharibu afya yako kwa kumpa mtu utajiri ..wewe unafaidika kulewa tu ...hio ni sawa kwako
 
Mada mezani ni POMBE.
 
Mungu mwenyewe angekua anajua kuwa pombe ni kitu kibaya basi asingewapa wanadamu maarifa ya kutengeneza pombe.
Afu nyie wanywa juice mnapenda K sana tunawajua vizuri.
Usimuhusishe Mungu na mambo ya kipumbavu.
Mungu hajakupa akili utengeneze pombe (sumu) tena inayoua vijana hapa nchini ..Mungu ametupa akili tufanye vitu vyenye kumsaidia mwanadamu na sii kumuua kwa kumtengenezea pombe.
Swala la wanaokunywa juice kuwa wapenda ngono hio ni dhana potofu na ya kipumbavu pia natural juice ni nzur kwa afya ya mtumiaji.
 
Nashkuru Mungu kua sina taste na alcohol. Sijavutiwa na radha yake na idea ya kua Sober.
 
Nashkuru Mungu kua sina taste na alcohol. Sijavutiwa na radha yake na idea ya kua Sober.
Hongera mkuu. Mungu akusaidie uendelee hivyo hivyo. Ukiona chupa yoyote ya pombe mbele yako jua ni sumu.
 
Ukisoma RICH DAD POOR DAD utayakuta hayaa
 
Nkikaa na wanywa tungi hua sijutii siku nkilinganisha na siku nayokaa na wala pepsi

Business idea nyingi zilizonipa spirit ya kupambana zimetokea bar na masela wanaopaki ndinga za maana

Wala pepsi ndo huongoza kwa kupaki IST na vidudu vingine mijini
 
walevi ni wapumbavu wa mwisho pombe ni mahususi kwa wapumbavu,losers kichocheo cha uwasherati ulioambatana na umasikini
Wachungaji wanakula kondoo wao madhabahuni, hasa ktk mikesha na mida ya maombezi ya wiki, vp nani bora me mlevi naekula dagi napita sokoni kufanya shopping ya familia yangu au yule anaetwgemea misaada ya waumin huku akiwatafuna bila huruma

Teja wa imani sometimes anatia huruma kuzid teja wa mitungi
 
Umaskin mkubwa sana mkuu..
Ila wenye kampun hizo za pombe wanaendelea kua matajiri, juzi kuna mmoja kanunua gari ya milioni 700 na wako huko.kwenye mitandao.wanayaonesha mafanikio yao makubwa
Hili jambo hua linanikasirisha sana
Wachungaji hawanunui mandinga huku waumin wakiishi amza kanoon?
 
TBS Mkemia mkuu na TMDA hawaja zipiga marufuku hivyo ni salama.
Jaribu Smart Gin kipande cha limao na Tonic utakuja Kuni shukuru.
 
Jitahidi sana mkuu. Juz tumetoka kuzika jamaa yetu na sio kwamba alikua na shida kimaisha alikua na kazi nzuri tu..
Embu kaa chini utafakar mkuu, kwamba wewe unaharibu afya yako kwa kumpa mtu utajiri ..wewe unafaidika kulewa tu ...hio ni sawa kwako
Yani mkuu majuto ya baada kunywa pombe mtu unatamani ataa uokoke kiukweli pombe inatesa sana asante kwa ushauri ambao umenyooka kaka
 
Diamond bwana, anaimba, "Ooooh eti utakufa",
"Kwani we utaishi mileleee"!!
Ahahahahaha! Diamond bwana!!
 
Ukiitumia bila kuzidisha ni afya kwako, angalia Yesu alivyobariki maji yakawa pombe, nae alikunywa. Kama Yesu alikunywa wewe ni nani usinywe.
 
Sio swala la.kuishi milele.mkuu. sumu hizo.zinaua
Sasa unywe sumu sababu unajua kua kuna kufa. Hio ni akili ama matope. Mungu amekubariki.kukupa miaka 80 ya kuishi, wewe unaipunguza kwa kusema sababu kuna kufa ngoja ninywe sumu(pombe kali).
Mungu kakuahidi utaishi Miaka Mingapi Mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…