felakuti
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 659
- 1,207
- Thread starter
- #201
Jitahidi sana mkuu. Juz tumetoka kuzika jamaa yetu na sio kwamba alikua na shida kimaisha alikua na kazi nzuri tu..Katika changamoto ambayo vijana wengi tunapambana nayo ni hii ya kuacha pombe binafsi napmbana sana niache, na siku hizi nimekua na hasira kila ninapo kunywa nakua mkali kweli kweli jamba linaloniogopesha hata usalama wangu mtu ukiwa na laki unaiteketeza ndani ya masaa kadhaa tu aisee inaumiza hii wakuu
Embu kaa chini utafakar mkuu, kwamba wewe unaharibu afya yako kwa kumpa mtu utajiri ..wewe unafaidika kulewa tu ...hio ni sawa kwako