Wanywa pombe kali huwa mnajiuliza swali hili mkiwa mnakunywa?

Kuna baadhi hawagusi kabisa kilevi lakini ni mabingwa wa kufukua mitaro
 
Sio swala la.kuishi milele.mkuu. sumu hizo.zinaua
Sasa unywe sumu sababu unajua kua kuna kufa. Hio ni akili ama matope. Mungu amekubariki.kukupa miaka 80 ya kuishi, wewe unaipunguza kwa kusema sababu kuna kufa ngoja ninywe sumu(pombe kali).
Kwa hiyo sisi ambao hatunywi pombe kali tuendelee tu na pombe zisizo kali.
 
Pombe nzuri ni wine na beer mkuu,
 
Pombe nzuri ni wine na beer mkuu,
"Nzuri" ni hoja complex. Kila mtu ana maoni yake. Wataalam wa pombe watakuambia kuwa kila pombe ina mazingira yake na vigezo vyake vya kunywa.

Kuna wataalam wa afya wengine watakuambia hakuna pombe nzuri.

Wengine watakuambia kwa mtu mwenye uraibu wa pombe hakuna pombe nzuri.

So it is not that simple.
 
Tatizo la pombe ni kujidhibiti na kutumia kwa kiasi tu, walioweza kunywa kwa nidhamu haina shida kama sigara ilivyo shida.
 
Kuna wengine wanasema sukari processed nayo ni janga la afya, wengine wanasema ikitumika kwa kiasi sahihi haina shida, tatizo ni kujua hiko kiasi sahihi ni kipi.
 
Unywe usinywe utakufa tu na kwenda kuwa msosi wa funza na mchwa afsa..
 
nilifikiria unasema tusichanganye yenye rangi na isiyo na rangi

sio tuache ,unaachaje pombe
 
Tatizo la pombe ni kujidhibiti na kutumia kwa kiasi tu, walioweza kunywa kwa nidhamu haina shida kama sigara ilivyo shida.
Mkuu,

Usomi wa sasa wa kitabibu unasema hakuna kiasi salama cha pombe.

Na zaidi, athari za pombe zinatofautiana kati ya mtu na mtu, ni kama kila mtu anahitaji kufanyiwa uchunguzi wa peke yake ili kujua kama pombe itamuathiri vipi.

Sasa wabongo wangapi wanafanya hata basic checkup annually?

Unakuta mtu ana kisukari lakini hata hajui, anakunywa mipombe tu.
 
walevi ni wapumbavu wa mwisho pombe ni mahususi kwa wapumbavu,losers kichocheo cha uwasherati ulioambatana na umasikini
Acha dharau! Sio walevi wote ni masikini! Wapo walevi wengi sana wanakuzidi uwezo na akili.

By the way mpumbavu mwenyewe!
 
Wewe unywae juisi ya miwa, urojo, na mtori, huyo akuuziye anakujuwa?
 
Kuna wengine wanasema sukari processed nayo ni janga la afya, wengine wanasema ikitumika kwa kiasi sahihi haina shida, tatizo ni kujua hiko kiasi sahihi ni kipi.
Naam, sasa tatizo moja halihalalishi tatizo lingine. If anything linatakiwa kutufanya tuwe makini zaidi.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Unywe usinywe utakufa tu na kwenda kuwa msosi wa funza na mchwa afsa..
Kufa ukitaka mwenyewe ufe tu hata bila kunywa, ni haki yako.

Lakini usituachie mizigo yako.

Ikibidi hata kujizika ujizike mwenyewe.

Yani unachimba kaburi, unategesha mtego wa kulifukia, unajiua huku unategua mtego, ukimaliza kujiua na kuzikwa ushazikwa.

Humpi shida ya kuzika mtu.
 
Je kinachodhuru mwili ni pombe pekeyake?
Tumefunzwa kila kitu kwa kiasi.. Chochote kikizidi kiwango ni sumu
There is and never will be justification of drinking poison. Iwe kiasi ama nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…