Hakuna justification ya kunywa sumu iwe pombe ama soda ama vidonge.Aliyekuwmbia situnzi afya yangu kisa pombe ni nani!!?...
Soda sio sumu!?? Vidonge sio sumu!?? ..... Bugia soda acha nibugie gambe .... Afya yangu ni dhamana yangu kama wewe na afya yako ......
Ukweli mchungu mkuu.asilima kubwa matajiri huzaliwa hawana pesa wachache huzirithi na hata hao pia hutumia akili kubwa kuzikuza, sasa point ya utafutaji pesa huanzia chini ukianza tuh visungura kwa kigezo hiki ndio kiwango changu wacha nilewe nakuhakikishia hutafika wine,na ukifika kiwango cha mvinyo wa bei ghali hutopata muda wakunywa au pengine ukapata huo muda mara moja kwa mwaka tena kwa kiwango kidogo hivyo hakuna tajiri mlevi kwani huo muda hana wakulewa
Hii mada haihusiani na usabato/walokole, mada pia haihusiani na peponi ama mbinguni,Walokole/wasabato Wana shida sana ..... Yanajiona tayari yameshafika mbinguni Kwa kutokunywa pombe tu ... Na wazima wa afya Kwa kutokunywa pombe tu ..... Madhambi na masumu ni mengi mno duniani humu ...ila wao kila siku kufungua Uzi pombeee pombeee ....
We kejeli sana mkuu, ila Mada imezungumzia pombe kali, na pombe zingine,Wewe unafikiri wenye viwanda vya Coca-Cola na Pepsi hawana majumba na magari?
Bure kabisa wewe
Waache pombe wanywe mkojo??Wasaalam!!!!
Nakaa na kutafakari kwa kina, kwa mnywa pombe haswa vijana na wengineo hata watu wazima, chukulia hizi pombe kali...
Hivi umeshawahi kutafakari kua wewe unaingia kwa bashasha sehem ya burudani ama wapi unaagiza kwa bashasha na umwamba mwingi pombe kali na unachaganya na soda sjui, matokeo ya unywaji huo unaenda kuunguza maini yako na kukusababishia matatizo ya figo, ila kwa tajiri mwenye kiwanda ama hio kampuni anaendelea kua tajiri mkubwa, anajenga majengo ya hatari na magari ya kifahari, pesa ya kutosha iko benki..
Ila wewe huku unaangamia, mbaya zaid unakuta hata hakujui maskin ya Mungu wakat unaanza kwenda hospitali kufanya dialysis , tumbo limevimba, yeye huku anakula maisha, mbaya zaid yeye hatumii, yeye anakunya maji tu na kufanya mazoezi, mwisho wa siku unapata magonjwa kama kansa ya utumbo n.k, wewe ukiwa unakata roho yeye wala anakula.maisha bado. Ukiwaona huko.mitandaoni mixer kutoa shauri nasaha za maisha na jinsi ya kufanikiwa.
Kaa tafakari.
ACHA POMBE..
Mkojo maziwa usiwaze wahimize wanywe maji sana wakojoePombe ni sumu. Acha.
Bado haileti tija mkuu kuharibu maini na figo nakupunguza miaka yako ya kuishi sababu kuna kufa na kwamba maini na figo huwez kwenda navyo popote. Hizo fikra kwa sisi waafrika ndizo zilizojaa ila kwa wenzetu , organ hizo kama ni nzima zinaweza kutolewa na kuwekewa mwingine zikamsaidia kama marehemu ataridhia kabla ya kufa kwake kwamba viungo vyake vitumike kwa mwingine mwenye uhitajiMkuu
Duniani tunapita tu.. Unataka utunze hizo figo na maini ili uende nayo wapi?
Mwisho wa siku kila mtu atakufa unataka ufe ukiwa na figo nzima ili uende nazo wapi?
Maisha yampige na pombe asinywe?Wasaalam!!!!
Nakaa na kutafakari kwa kina, kwa mnywa pombe haswa vijana na wengineo hata watu wazima, chukulia hizi pombe kali...
Hivi umeshawahi kutafakari kua wewe unaingia kwa bashasha sehem ya burudani ama wapi unaagiza kwa bashasha na umwamba mwingi pombe kali na unachaganya na soda sjui, matokeo ya unywaji huo unaenda kuunguza maini yako na kukusababishia matatizo ya figo, ila kwa tajiri mwenye kiwanda ama hio kampuni anaendelea kua tajiri mkubwa, anajenga majengo ya hatari na magari ya kifahari, pesa ya kutosha iko benki..
Ila wewe huku unaangamia, mbaya zaid unakuta hata hakujui maskin ya Mungu wakat unaanza kwenda hospitali kufanya dialysis , tumbo limevimba, yeye huku anakula maisha, mbaya zaid yeye hatumii, yeye anakunya maji tu na kufanya mazoezi, mwisho wa siku unapata magonjwa kama kansa ya utumbo n.k, wewe ukiwa unakata roho yeye wala anakula.maisha bado. Ukiwaona huko.mitandaoni mixer kutoa shauri nasaha za maisha na jinsi ya kufanikiwa.
Kaa tafakari.
ACHA POMBE..
Bado haileti maana wala kujifariji kua sababu wengine wana dhambi kubwa nyingi kwamba wewe uharibu afya yako iwembovu sana sababu kuna wengine wanafanya dhambi kubwa kama hizo ulizosema hapo...yeye atakua na msalaba wake wa kufanya anal sex (ufuska), na wewe unayekunywa sumu( vilevi) pia utakua na msalaba wakoKuna baadhi hawagusi kabisa kilevi lakini ni mabingwa wa kufukua mitaro