DOKEZO Wanywaji wa pombe kali tuwe makini, kuna pombe kali feki nyingi nchini

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Na bado serkali imekaa kimya kabisa as if hakuna kinachoendelea!
Kila kitu ni fake nchini wakati Mamlaka za udhibiti zipo lakini ziko kimya huku mauaji ya watu yakiendelea !
Hayo majitu yananikera mimi. Na yanakula mishahara kila mwisho wa mwezi.

Kama umegundua inawezekana wanaona kabisa hizi changamoto ila wanashindwa kuziapproach sababu kuna viongozi na viongozi wakubwa wa serikali tena ambao wapo karibu hata na raisi hizi ni biashara ambazo wanaumiliki nazo.

Haya yote tunaweza yashughulikia kama tutaandika katiba mpya ambayo itaelekeza na kutoa ruhusa ya mamlaka moja kuwajibisha mamlaka nyingine bila muingiliano wa kimasilahi.

Yaani mfano kwasasa mkuu wa Takukuru, mkuu wa jeshi la polisi na hata mahakimu na watendaji wa vyombo vya sheria wakiwa sio zao la teuzi za raisi wangekuwa na nguvu ya kumtia nguvuni na mkutoa mtendaji au kiongozi yoyote ambaye itadhihirika kuwa anashiriki shughuli za uhalifu kama hizi na kuhakikisha anahukumiwa haraka sana.
 
Wavuta bange wanaonewa sana bange nisalama kuliko hizo kitoko na smart gin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…