BodGanleonid
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 3,021
- 4,330
Mnapoelekea mtaanza kuchanganyiwa mpaka mavi nyie kaeni kwa kutulia tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No thank you 😂
Nimeokoka
Ukitaka ujue sio fake unafanyaje?
Wee 😂😂Hizi zimeshatakaswa, hata wapendwa wanaweza kushiriki...😉
Ukiokoa pesa uzipeleke wapi wakati hayo ndo matumizi yake.Sio lazima kuwa wanywaji wa pombe. Njia salama ni kuachana kabisa na pombe, mtaokoa pesa na afya zenu.
Mkuu ebu msiwe mnafanya masihara kwenye mambo ya msingi..🤨Sio lazima kuwa wanywaji wa pombe. Njia salama ni kuachana kabisa na pombe, mtaokoa pesa na afya zenu.
Exactly“Filter” kwa maana ya kale kaplastiki kanakaa chini ya kizibo?
Mhhhhhhh...🤔Hapana kabisa
Wasikutishe mkuu...😎Naacha Pombe
Mhhhhhhh...🤔
Mbona nilikuona pale The Casck kama sio Diamond...🙄
Hayo majitu yananikera mimi. Na yanakula mishahara kila mwisho wa mwezi.Na bado serkali imekaa kimya kabisa as if hakuna kinachoendelea!
Kila kitu ni fake nchini wakati Mamlaka za udhibiti zipo lakini ziko kimya huku mauaji ya watu yakiendelea !
Wavuta bange wanaonewa sana bange nisalama kuliko hizo kitoko na smart ginKama ni mnywaji wa hard liquor inabidi uwe makini sana.
Mimi nilishanunua jagger shopperz, nafika home nafungua tu, ikatoka kaharufu fulani not amazing.
Second chupa haina filter, nikarudi shoppers nikawaambia, huu mzigo feki, wahindi wakagoma goma. Nikawaambia filter ni lazima iwepo, wakabisha, kuwaambia nanunua mohans zina filter wakasema na wao wamenunua mohans.
Nikawaambia isiwe kesi, warudi mohans wawaambie. Nikaiacha nikaondoka.
Wiki baadae napita mitaa, si nikawa mohans, nikawasimulia, mohans wakasema jamaa wa shoppers yeye ndo alijifanya mjanja, kakataa kununua kwao kaagiza container lake mwenyewe sauzi, kumbe kapigwa.
Nikarudi shoppers nikawaambia mohans kasema nyinyi hamkununua kwake huu mzigo, yeye zake zote zina filter,
Hapo shoppers ndo akakubali kunirefund, nikaenda kwenye shelf nikakuta zile chupa feki zote wametoa 🤣🤣🤣🤣🤣