DOKEZO Wanywaji wa pombe kali tuwe makini, kuna pombe kali feki nyingi nchini

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Sio lazima kuwa wanywaji wa pombe. Njia salama ni kuachana kabisa na pombe, mtaokoa pesa na afya zenu.
Unakuta mtu anainanga pombe kumbe mvuta sigara🤣🤣🤣🤣 waislamu wanaonaga pombe ni dhambi huku wanavuta sigara....
Wanaona pombe haramu huku wanafanya zinaa tena unakuta mtu swala 5...
 
Kwahiyo ina maana kuna watu wamepaki mindinga yao nje ya mahotel na mabar kumbe wankunywa mataputapu bila ya kujijua,kweli maisha ni mzunguko...
 
Ni kweli majuzi nilikunywa kiwingu...nikalewa upande mmoja wa mwili...nikawa napepesuka upande mmoja
 
Kwa hio hata mapombe yako unasema katiba. BASI hata mboga isipoiva mtasema napo katiba. iliyopo nayo mtasema haifai. Okoa hela kunywa maziwa.mbona mazuri
Kuna mgando,fresh fresh with chocolate yogurt za dar fresh ni shida
 
Mambo ya dabokiki haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…