DOKEZO Wanywaji wa pombe kali tuwe makini, kuna pombe kali feki nyingi nchini

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Huu uzi umearibiwa na wanafki , wasio pata kilevi mm nawaonaga wanafki tu.
 
Mnajiendekeza sana kheee.
 
Hakika mkuu nimefanya huo utafiti kwa muda sasa ,mwanzo nilikua nagonga kali ila asubuhi macho yaaona ukungu tupu ,nikaingia chaka a.k.a Ubandani gonga mkuki gonga mkuki lkn hilo tatizo halikutokea sasa hivi nmerudi tu kwenye Mbege...
 
Mi kwangu pombe feki ni ile ambayo ukinywa hulewi.

Kama pombe inanipatia stimu huo ufeki unakujaje?

Najua hapa mtakuja wanasayansi uchwara na siasa za tbs utadhani kule kwenu ushilombo babu zako walikuwa wanakunywa pombe za tbs
 
Watatuua
 
Kuna nyingine zinaumiza makoo kama umemeza mkaa hasa hivi vikali
 
Mi kwangu pombe feki ni ile ambayo ukinywa hulewi.

Kama pombe inanipatia stimu huo ufeki unakujaje?

Najua hapa mtakuja wanasayansi uchwara na siasa za tbs utadhani kule kwenu ushilombo babu zako walikuwa wanakunywa pombe za tbs
Mkuu shida kubwa ninayoiona ni mazingira ambayo hizo pombe feki zinatengenezwa.... Yaani unaweza pata magonjwa maana mazingira hovyo kabisa.
Halafu mkuu unanunua Hennessy 180,000 kumbe imetengenezwa Buguruni kwenye sakafu.
 
Wanatuchuuza sana, asante kwa kuwachanua wapiga monde na kuwachafulia shopperzs kwa ubishi wao wa kujidai wajanja wakuagiza kivyao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…