A
Anonymous
Guest
Kero yangu sisi tunaoomba ajira kupitia Mfumo wa Ajira Portal, tunakaa muda mrefu bila kuitwa kwenye interview.
Kwa mfano niliomba ajira Ajira Portal, Shirika la Posta since last year Mwaka 2025 mpaka leo Machi 2026 hakuna shortlist wala kujua lini tutafanya, the same to Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA).
Sasa kama kunakuwa hakuna utayari wa kuajiri watu kwa kipindi hiko why watangaze then ichukue muda mrefu kuitwa kwenye interview sio sawa.
Kama hawawezi kusimamia ajira nyingi wakati mmoja watangaze kwa awamu.