The MaskmaN
JF-Expert Member
- Sep 28, 2017
- 350
- 764
Una mshefa wa kizungu nini? Ndio anakupa data hizo[emoji28][emoji28]Ndiyo maana wazungu mpaka leo wanaamini ukoloni unapaswa kurejea upya maana waafrika hawaishi vioja
Wewe pia siyo mungu hakuna anayeamini unachokiami wewe binafsiCorona sio Mungu sisi hatuabudu korona kama nyie
Dua la kuku hiño zikifika jiandae kukumbwa na corona.Jihesabie mwenyeweTuhesabu Wiki mbili tu kuanzia jana
"Dawa la kuongeza kinga" [emoji28][emoji28][emoji28] wewe itakuwa mdada wa kimasaiWewe ujue nakufahamu ni mwanamke ingawa unameza dawa la kuongeza kinga nitakuoa hivyo hivyo kukuondolea nuksi ya kutoolewa
Hivi katika pota zako mitaani umeona mwitikio wa kuvaa barakoa ukoje? Na unadhan ni kwanini kuna mwitikio huo? ( mkubwa au mdogo)Ndani ya uwanja wa Uhuru ambako mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania Dr Magufuli unaagwa waagaji karibu 95% hawavai barakoa wala hawaonyeshi kama wanafahamu kama kuna uwepo wa corona duniani
Hivi ni nani kawadanganya kwamba hakuna Corona Tanzania ?
Umeopolewa wewe kwani hilo gari simu dini unavyoabudu vimetengenezwa na kuwanda cha sido ? Benk ya Dunia ipo hapo uwanja wa fisi?Una mshefa wa kizungu nini? Ndio anakupa data hizo[emoji28][emoji28]
Hongera umeopoa[emoji28][emoji106]
Kama umeenda uwanja wa Uhuru bila barakoa haihitajiki Dua kujua kuwa wewe ni marehemu mtarajiwaDua la kuku hiño zikifika jiandae kukumbwa na corona.Jihesabie mwenyewe
"kuwanda cha sido" [emoji28][emoji28][emoji28]Umeopolewa wewe kwani hilo gari simu dini unavyoabudu vimetengenezwa na kuwanda cha sido ? Benk ya Dunia ipo hapo uwanja wa fisi?
Karibu nipo hapa na barakoa uje umeshiba kwani ukitoka hapa mwakani tarehe kama hizi nitakuwa nimekuzalisha mtoto"kuwanda cha sido" [emoji28][emoji28][emoji28]
Mwali wa kimasai nishaanza kukutamani,nataka nije inbobo
Una msambwanda nini mpaka nije nimeshiba?..Karibu nipo hapa na barakoa uje umeshiba kwani ukitoka hapa mwakani tarehe kama hizi nitakuwa nimekuzalisha mtoto
Toa ujinga wako wa Twitter kuthibitisha ndio nini unamaanishaSiyo kila aliyekwenda uwanja wa Uhuru alimpenda magufuli wengine wameenda kuthibitisha kama kafa kweli huku wengine wakienda kama mkumbo tu
Hakuna aliyewadanganya , wewe vaa tu uwe mfano kwa wengineNdani ya uwanja wa Uhuru ambako mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania Dr Magufuli unaagwa waagaji karibu 95% hawavai barakoa wala hawaonyeshi kama wanafahamu kama kuna uwepo wa corona duniani
Hivi ni nani kawadanganya kwamba hakuna Corona Tanzania ?
Prophets of doom......mliyasema hayo yote tokea ugonjwa unaanza cha ajabu mabwana zenu wavaa barakoa ndo wanapukutikaMkuu in two weeks wiki ya kwanza na ya pili April maambukizi yataongezeka sana na baadhi kuishia kaburini.