Wapagani wa kale waliabudu Utatu Mtakatifu

wakatoliki wanamwabudu bikira maria, ndio mama huyo kama ulikua hujui.
".......Maria mtakatifu mama wa MUNGU! ....."
Hiyo ni moja ya maneno ya kwenye sala ya salam maria umejaa neema. Hivi kweli hadi leo watu wanaamini uzushi huu?? Hivi kweli Mungu ana mama? Nadhani wakatoliki wana Mungu wao peke yao ambaye ana mama. Sisi wengine Mungu wetu hakuzaa wala hakuzaliwa na ni mwenye uhai wa milele na ni msimamizi wa mambo ya viumbe.
 
ulisoma zaburi 11:5 aliyoweka jamaa hapo juu inayosema Mungu ana nafsi moja?
5 Bwana humjaribu mwenye haki; Bali nafsi yake humchukia asiye haki, Na mwenye kupenda udhalimu.
..Nafsi ya Mungu(the father) ndo Ilikua dhahiri nyakati hizo Jesus and the spirit wameweka wazi baadae ndo maana ametumia umoja hapo
 
wakatoliki wanamwabudu bikira maria, ndio mama huyo kama ulikua hujui.
usikurupuke kasome Kanuni ya lmani ya Wakatoliki [emoji4] fichaga ujinga wako [emoji4]
 
..atleast the Bible is the Only book ambayo haijicontradict Unlike vingi,alafu the Bible was not written by Jews ni manabii wengine wakavikusanya pamoja
 
Kama cheo Mungu ana vyeo vingi sio vitatu tu.kwamba ni mwana ni baba na roho hapana. Mungu ana cheo cha kulea , Kulinda , kutoa rizk , na kadhalika
Kwahiyo hana nafsi tatu.Mungu ni Mungu na hakuna mwingine mwenye haki ya kujiita Mungu
Mwingine anae jiita M'Mungu nani [emoji4]
 
JOHN 1:1

In the beginning was the Word, and the Word was with God, and the Word was God. He was in the beginning with God.
 
JOHN 5;18 John 5:18



For this cause therefore the Jews were seeking all the more to kill Him, because He not only was breaking the Sabbath, but also was calling God His own Father, making Himself equal with God.

JOHN 10;33


"I and the Father are one." The Jews took up stones again to stone Him. ... Has it not been written in your Law, 'I said, you are gods'?"
 
..No nafsi ikikosekana haiwezekan
inamaana Yesu alipokuwa duniani alikuwa akisali kwa Mungu gani ni hali huko mbinguni alikuwa hajakamilika? na sauti "huyu ni mwanangu mpendwa'' ilikuwa ya nani?
 
But an hour is coming, and now is, when the true worshipers shall worship the Father in spirit and truth; for such people the Father seeks to be His worshipers” (John 4:21-23). Bila kumuabudu in spirit huwez kumfikia because he is spiritual
 
..tatizo Unamchukulia MUNGU kama mtu,a spirit can duplicate itself mara hata 1000 japo source ni moja

God has a body, kusema he doesnt have a body kisa ana uwezo wa kuchenj form unakua unakosea. mchawi mwili anao na ana uwezo wa kuchenj form pia na kuwa paka, mjusi, ndege au mbwa. To say that god is spirit is to say that god is invisible. but god has a spirit which dwells in his body.

ushahidi kwamba mungu ana umbile:
MWANZO 6:3
BWANA akasema, Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa yeye naye ni nyama;

mungu anaposema mwanadamu naye ni nyama, anamaanisha na yeye mungu anazo nyama / mwili / umbile.

MWANZO. 1:26‭
Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu.

ni kwa maneno yake mungu sio maneno yangu, anatamka kwamba anayo sura.

MWANZO 1:27
Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.

kusema mungu ni roho haimaanishi hana kiwiliwili, watu huwa wanasema hivyo kutokana na ile sifa yake ya kutoonekana.

kama nimekosea nirekebishe tafadhali, karibu.
 
inamaana Yesu alipokuwa duniani alikuwa akisali kwa Mungu gani ni hali huko mbinguni alikuwa hajakamilika? na sauti "huyu ni mwanangu mpendwa'' ilikuwa ya nani?
..the Father na alipokua anasali kwa Mungu he was 100% Human pale maana Yesu alikuaja 100% human na 100% God
 
Hizo ni akili za kibinadamu ambazo ni dhaifu kwa sanaa kwa Hekima na maajabu ya M'Mungu asiye na Mshauri...[emoji15] Yale ambayo Ametufunulia Ndiyo tunayo wafundisha wanetu na kuyahubiri kwa Nguvu [emoji109] na Yale ambayo yako sirini kwake yataendelea kuwepo sirini pake..Mungu hayupo likizo [emoji4]
 
..ana Original Body sawa na ndo tutamwona nayo tukifika Mbinguni but He is a spirit na anaweza fanya tusioweza that was ma Point
 
Utatu upo wapi wapi hapo sasa?
 
..ana Original Body sawa na ndo tutamwona nayo tukifika Mbinguni but He is a spirit na anaweza fanya tusioweza that was ma Point
nashukuru kwa kukiri kuwa mungu ana mwili. everything else is irrelevant.
 
..Ni kama maji,ukigandisha utaita barafu,ukichemsha Yakayeyuka utaita mvuke(vapour),Yakiwa kawaida ni Maji but ni kitu Kile Kile
kwa hiyo unamaanisha barafu=mwana, mvuke=roho na Maji=Mungu, mkuu bado mfano wako hauendani na mada
 
..that wasn't ma Point na nilikua sijaribu kulinganisha kabsa na nmetoa mifano mingi nashangaa umeona huo tu [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…