hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 13,628
- 20,992
- Thread starter
- #341
Kwanza kina Musa,Daudi ,Suleiman ,na manabii wote sio WAPALESTINA,hilo neno nimekuomba kwenye Quran hujaletaUsimtie mwenzio ujinga sio yeye wala mimi au wewe na kinachoendelea Gaza kina manufaa kwetu na kama kinachoendelea Congo ppt penye mauaji panahitaji patendeke haki haijalishi kabila wala dini..kuelimishana ili tupate compromise ya haki vitu simpo tu pale ni kwa Israel Quran imesema sawa haya wapelistina kwao wapi na yeye anajinasibu sijui msomi anakuja na kibandiko chake kakitoa Google.
Halafu ananiuliza tena si umekubali lkn Quran haijawataja wapelistina?...haya hao waliotajwa waisraeli mipaka yao ni ipi?..zamani kulikua na nchi? Kama ni wavamizi kwa nini 1948 patengwe two state?..mvamizi utampa ahadi ya kumjengea makazi mapya?...ndo nimemwambia aache utoto inawezekana napoteza mda wangu na mtoto wa 2006..wapelistina pale sio kwao sasa kwao ni wapi tokea enzi ya Mussa kapita Harun nabii Daud na mwanaye Suleman kwa nini washndw kuwarudisha kwao?
KUBALI hadharani hapa kuwa Quran Haina majibu kuhusu WAFILIST AU WAPALESTINA