Wapalestina ni wavamizi kwa mujibu wa Quran

Usimtie mwenzio ujinga sio yeye wala mimi au wewe na kinachoendelea Gaza kina manufaa kwetu na kama kinachoendelea Congo ppt penye mauaji panahitaji patendeke haki haijalishi kabila wala dini..kuelimishana ili tupate compromise ya haki vitu simpo tu pale ni kwa Israel Quran imesema sawa haya wapelistina kwao wapi na yeye anajinasibu sijui msomi anakuja na kibandiko chake kakitoa Google.
Halafu ananiuliza tena si umekubali lkn Quran haijawataja wapelistina?...haya hao waliotajwa waisraeli mipaka yao ni ipi?..zamani kulikua na nchi? Kama ni wavamizi kwa nini 1948 patengwe two state?..mvamizi utampa ahadi ya kumjengea makazi mapya?...ndo nimemwambia aache utoto inawezekana napoteza mda wangu na mtoto wa 2006..wapelistina pale sio kwao sasa kwao ni wapi tokea enzi ya Mussa kapita Harun nabii Daud na mwanaye Suleman kwa nini washndw kuwarudisha kwao?
Kwanza kina Musa,Daudi ,Suleiman ,na manabii wote sio WAPALESTINA,hilo neno nimekuomba kwenye Quran hujaleta

KUBALI hadharani hapa kuwa Quran Haina majibu kuhusu WAFILIST AU WAPALESTINA
 
Hao wote wa kwenu nyny na Quran haijataja wapelistina/wafilisti...haya tuambeni kwao ni wapi?..na kwa nini muwabembeleze wavamizi kuwajengea makazi mazuri?
 
Kwahiyo Waisraeli ni wakwenu sababu Quran imewataja?
 
Wa kwenu nyny waisraeli na weny nguvu wote...na Quran haijawataja wapelistina imewataja waisraeli ni wa kwenu vyote vitakatifu ni vya kwenu sie waislam wa kwetu ni Papa Francis...na tunamuombea afya njema na baraka tele
 
Sasa kafatilie na kasome historia utajua mnachezewa game tu, UKATOLIKI NA UISLAMU NI PLAN moja

Kafatilie kwanini Padre Waraq na Sister Khadija Wana mchango mkubwa sana kwenye kuanzisha dini ya Uislamu,

Kafatilie pia kwanini Padre Waraq alipofariki tu, Wahayi ulikoma kushuka na Muhammad akataka kujiua( haya yapo kwenye Hadith zenu)

images (49).jpeg
images (48).jpeg
images (47).jpeg
 
Wa kwenu nyny waisraeli na weny nguvu wote...na Quran haijawataja wapelistina imewataja waisraeli ni wa kwenu vyote vitakatifu ni vya kwenu sie waislam wa kwetu ni Papa Francis...na tunamuombea afya njema na baraka tele
Kutajwa sio tatizo ndio maana wayahudi HAWAMTAMBUI kuwa Yesu ni masihi japo katajwa kwenye biblia
 
Sasa kafatilie na kasome historia utajua mnachezewa game tu, UKATOLIKI NA UISLAMU NI PLAN moja

Kafatilie kwanini Padre Waraq na Sister Khadija Wana mchango mkubwa sana kwenye kuanzisha dini ya Uislamu,

Kafatilie pia kwanini Padre Waraq alipofariki tu, Wahayi ulikoma kushuka na Muhammad akataka kujiua( haya yapo kwenye Hadith zenu)

View attachment 3230303View attachment 3230304View attachment 3230305
Nimeshakujibu Papa Francis ni wa kwetu sisi waislam na tunamuombea afya njema baraka tele,na waisraeli ni wa kwenu nyie wakristo wote muwe na furaha tele na utakatifu ni wa kwenu milele..
 
Mpaka leo hujui historia ya palestina? Yesu katajwa mara kibao kwenye biblia lakini Wayahudi HAWAMTAMBUI kama ni Masihi ila wewe mmakonde una mtambua
⚠️🇪🇭❌PALESTINA HAIPO KWENYE QURAN🇪🇭

Huu ni Msiba kwa Waislam wanao pigia debe Wapalestina. Hivi kwanini Allah hakuitaja Palestina kwenye Quran yake? Lakini ameitaja Israel na Wairaeli?

ALLAH ANASEMA KWA WAYAHUDI:

Allah (s.w.t.) amesema: Enyi watu wangu! Ingieni katika hiyo ardhi iliyotakaswa ambayo Allah amekuandikieni. Wala msirudi nyuma, msije mkaw wnye kukhasirika.(Qur'an 5:21)

Katika aya hapo juu, Allah anawaita Wayahudi kupitia Musa "WATU WANGU" zaidi ya hapo anawaambia kuwa Waende Israel kwenye ARDHI ILIYOTAKASWA. Ndugu Waislamu, kwanini Allah anaiita ardhi ya Israel kuwa imetakaswa lakini hakuwai sema hivyo kwa Makka😂😁🏃
 
Kutajwa sio tatizo ndio maana wayahudi HAWAMTAMBUI kuwa Yesu ni masihi japo katajwa kwenye biblia
Mfano wako hata hauendani ,maana kwanza sio wayahudi wote hawamtambui Yesu ,wapo Messianic Jews wanamtambua

Mitume na wale walioupokea Ukristo mwanzon walikuwa wayahudi

Huo mfano wako ni tofaut kabisa na Quran kushindwa kuwatambua hao WAFILIST
 
Kijana hapa unajadiliana na msomi wa mambo mengi kwa taarifa yako ukristo pale Israel ni 2% ya watu milioni 8 , na kingine Mahakama ya juu ya Israel ilishamaliza hili jambo hao wanao jiita Messianic Jews sio Jews ni Christian sect HAWANA VIGEZO kuwa wayahudi , ukija hapa uwe na adabu

8E75A73F-5D35-4041-8574-9B0C52FF5C38.jpeg
 
⚠️🇪🇭❌PALESTINA HAIPO KWENYE QURAN🇪🇭

Huu ni Msiba kwa Waislam wanao pigia debe Wapalestina. Hivi kwanini Allah hakuitaja Palestina kwenye Quran yake? Lakini ameitaja Israel na Wairaeli?

ALLAH ANASEMA KWA WAYAHUDI:

Allah (s.w.t.) amesema: Enyi watu wangu! Ingieni katika hiyo ardhi iliyotakaswa ambayo Allah amekuandikieni. Wala msirudi nyuma, msije mkaw wnye kukhasirika.(Qur'an 5:21)

Katika aya hapo juu, Allah anawaita Wayahudi kupitia Musa "WATU WANGU" zaidi ya hapo anawaambia kuwa Waende Israel kwenye ARDHI ILIYOTAKASWA. Ndugu Waislamu, kwanini Allah anaiita ardhi ya Israel kuwa imetakaswa lakini hakuwai sema hivyo kwa Makka😂😁🏃
Quran haija taja vitu vingi tu sio kwamba hakuna , hoja yako iko wapi? badala ya kuleta hoja unaanza kulalamika na kutoa lawama kwa Quran, inashangaaza sana , kuhusu Palestina nimeshakujibu sana kuwa ni eneo sio watu kiasili, na jina hili halina muda mrefu sana kuzidi umri wa Quran
 
Kwahiyo Quran inawajua waisrel tu kuhusu hilo eneo?
 
Kijana hapa unajadiliana na msomi wa mambo mengi kwa taarifa yako ukristo pale Israel ni 2% ya watu milioni 8 , na kingine Mahakama ya juu ya Israel ilishamaliza hili jambo hao wanao jiita Messianic Jews sio Jews ni Christian sect HAWANA VIGEZO kuwa wayahudi , ukija hapa uwe na adabu

View attachment 3231852
Sisi tunafata maandiko ,sio bla blaa hizo, Yesu muanzilishi wa Ukristo na mitume ni wayahudi ,

Halafu kwa Mungu wetu sisi hatuangalii wingi

Mungu wetu sio wa demokrasia
 
Yesu alikuwa myahudi hajawai kuanzisha Ukristo, wewe unasema Yesu yupi? Sasa acha kufananisha wayahudi na ukristo wenu wao hawana habari nao
 
Kwa mujibu wa Quran Wana wa israel ni race na si dini, Quran inasema musa ni mtume wa Allah na ni muislam na si myahudi,kwa misingi ya Quran uyahudi ni imani/dini,kwa hivyo netanyahu na wayahudi wenzie ambao ni wazungu wa poland na ukraine siyo Wana wa israel na hawahusiki na hizo aya za Quran,hata DNA zao siyo za kisemitiki(semitic)
Kwamba kabla hawajaja hao Ashkenaz hakukuwapo wayahud wenyeji au?
 
Yesu alikuwa myahudi hajawai kuanzisha Ukristo, wewe unasema Yesu yupi? Sasa acha kufananisha wayahudi na ukristo wenu wao hawana habari nao
Ukristo alianzisha mudy?

Yesu alikuwa myahudi, Manabii wote walikuwa wayahudi

Muhammad nabii ameupata wapi ? Tofaut ya Muhammad na mwamposa ni ipi
 
Quran imeandika hapo kuna wenyeji ambao waisrael wamewakuta , kwahiyo naamini wapo kwasababu hakuna mahali wameuliwa wote
Leta Aya kuwa Wayahudi walifukuzwa wakapewa hawao wenyeji

Na hao wenyeji mmejuaje ni WAPALESTINA?
 
Back
Top Bottom