Wapalestina wamelianzisha huko ukingo wa Magharibi "West Bank"

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,246
Reaction score
123,145
Wapalestina kuonesha kuwa wao wote ni kitu kimoja, akiumizwa mmoja wote wanaumia, wamelianzisha huko West Bank. Wapiganaji wa Al Quds Brigades waliolianzisha wanasema halisimami hilo mpaka kieleweke.

Vita inaendelea kupanuka. Jana wamezzichapa huko usiku kucha:

My take: Netanyau katumbukizwa maji ya kina kirefu, sasa anatapatapa. Wayahudi wenyewe wa asili ya hapo Palestina wamemgeuka, Wayemeni huko baharini wanaendeleza ubabe licha ya uwepo wa manoeari za kiv9ita za NATO. Kaskazini huko Hezbollah nao kila likipowa wanaliamsha. Ghaza hapo ndiyo usiseme, Hamas wamebadili mbinu na sasa wanalianzisha usiku usiku tu, wanajuwa mashiga wa kizayuni wanapenda kulala hovyo, waamke wapigane.
 
View attachment 2858495

Bibi hao waarabu hawakuanza leo kupigana na wayahudi ila wanaambulia pua uko west bank....since 1900,s
Tatizo mungu wa kiarabu allah anazidiwa nguvu na mungu wa kiyahudi yehovah.
 
Wapalestina kuonesha kuwa wao wote ni kitu kimoja, akiumizwa mmoja wote wanaumia, wamelianzisha huko West Bank. Wapiganaji wa Al Quds Brigades waliolianzisha wanasema halisimami hilo mpaka kieleweke.

Vita inaendelea kupanuka. Jana wamezzichapa huko usiku kucha:

View attachment 2858495

My take: Netanyau katumbukizwa maji ya kina kirefu, sasa anatapatapa. Wayahudi wenyewe wa asili ya hapo Palestina wamemgeuka, Wayemeni huko baharini wanaendeleza ubabe licha ya uwepo wa manoeari za kiv9ita za NATO. Kaskazini huko Hezbollah nao kila likipowa wanaliamsha. Ghaza hapo ndiyo usiseme, Hamas wamebadili mbinu na sasa wanalianzisha usiku usiku tu, wanajuwa mashiga wa kizayuni wanapenda kulala hovyo, waamke wapigane.
 
Wapalestina kuonesha kuwa wao wote ni kitu kimoja, akiumizwa mmoja wote wanaumia, wamelianzisha huko West Bank. Wapiganaji wa Al Quds Brigades waliolianzisha wanasema halisimami hilo mpaka kieleweke.

Vita inaendelea kupanuka. Jana wamezzichapa huko usiku kucha:

View attachment 2858495

My take: Netanyau katumbukizwa maji ya kina kirefu, sasa anatapatapa. Wayahudi wenyewe wa asili ya hapo Palestina wamemgeuka, Wayemeni huko baharini wanaendeleza ubabe licha ya uwepo wa manoeari za kiv9ita za NATO. Kaskazini huko Hezbollah nao kila likipowa wanaliamsha. Ghaza hapo ndiyo usiseme, Hamas wamebadili mbinu na sasa wanalianzisha usiku usiku tu, wanajuwa mashiga wa kizayuni wanapenda kulala hovyo, waamke wapigane.
Waislamu na waarabu bhana na unafiki wa historia ya wayahudi....ila wasomi hatudanganyiki
SISHANGAI MAANA MUNGU WA KIARABU AMEZIDIWA NGUVU NA MUNGU WA KIYAHUDI....
ENDELEA KUJIFARIJI KAMA WALIVYOKUA WANAJIFARIJI WAZEE WANGU WA KKOO MIAKA YA 70,S NA 80,S G MPAKA WANAFARIKI..
 
Wamelianzisha upya? Kila siku tunasema hivi hivi.... Anyway tusiwaache wenzetu upweke. Tuwatie moyo. Mi naanzisha uzi mwingine kusema waisrael wanakufa kama kumbikumbi.

Wapalestina wamesma mazayuni wasifikiri hata siku moja kuwa wataishi kwenye ardhi hiyo kwa raha wakati wenye ardhi wanateseka.
Kwahiyo waarabu wanadhani wana haki ya kuwanyanganya ardhi wayahudi...kama mungu wao wa kiarabu anavyowadanganya...
Jew,s wapo tayari kwa vita hata miaka bilioni moja........
Hakuna cease fire!!
 
Sikiliza kijana, wenye haki ni mazayuni tu ya kuwanyag'anya wapalestina ardhi yao.

Sasa hivi huko mazayuni wameng'oa misalaba yote kwenye makaburi ya wakristo, hawataki kuiona. Unalielewa hilo?
 
kwani TEC Hhawajatoa waraka kuhusu kichapo cha Leo?
wanatakiwa watowe waraka kwanini mazayuni wamepiga marufuku krismasi kufanyika alipozaliwa Yesu, Bethlehem na kwanini wanang'oa misalaba yote kwenye makaburi ya wakristo.

Tec naona hilo wanalikalia kimya kwa kuwa wanaofanya hayo ni wabarikiwa.
 
Sikiliza kijana, wenye haki ni mazayuni tu ya kuwanyag'anya wapalestina ardhi yao.

Sasa hivi huko mazayuni wameng'oa misalana yote kwenye makaburi ya wakristo, hawataki kuiona. Unalielewa hilo?
Hao waarabu wanajua ukweli hiyo ardhi walimnyanganya nani hapo nyuma.....
Unadhani dunia haijui historia ya wayahudi na waarabu bibi??????
NB: KUHUSU KUNGOA MISALABA BADO HAIONDOI BONDI YA WAKRSTO NA WAYAHUDI KUPITIA MUNGU WA KIYAHUDI YEHOVA....
Waislamu wanaumia sana kuona wayahudi na wakrsto wanamuabudu Mungu wa kiyahudi YEHOVA....
 
Wamelianzisha upya? Kila siku tunasema hivi hivi.... Anyway tusiwaache wenzetu upweke. Tuwatie moyo. Mi naanzisha uzi mwingine kusema waisrael wanakufa kama kumbikumbi.

Kila baada ya nusu saa....bibi faiza na maralia wanaanzisha nyuzi za kujifariji 🤣🤣🤣 sababu gaza pa moto 🤣🤣
 
Back
Top Bottom