FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Wapalestina kuonesha kuwa wao wote ni kitu kimoja, akiumizwa mmoja wote wanaumia, wamelianzisha huko West Bank. Wapiganaji wa Al Quds Brigades waliolianzisha wanasema halisimami hilo mpaka kieleweke.
Vita inaendelea kupanuka. Jana wamezzichapa huko usiku kucha:
My take: Netanyau katumbukizwa maji ya kina kirefu, sasa anatapatapa. Wayahudi wenyewe wa asili ya hapo Palestina wamemgeuka, Wayemeni huko baharini wanaendeleza ubabe licha ya uwepo wa manoeari za kiv9ita za NATO. Kaskazini huko Hezbollah nao kila likipowa wanaliamsha. Ghaza hapo ndiyo usiseme, Hamas wamebadili mbinu na sasa wanalianzisha usiku usiku tu, wanajuwa mashiga wa kizayuni wanapenda kulala hovyo, waamke wapigane.