Wapare mara nyingi wakienda kwao husema wanaenda Upareni

Nasikia Nyerere alienda upare akakuta watu wote wafupi Kama watoto wadogo kumbe ni watu wazima akawauliza nyinyi wazazi wenu wako wapi wakajibu sisi ndio baba zao na sisi ndio mama zao yakimaanisha wao ndio baba na mama yaani watu wazima daaa wapere wafupi sana
 
Wahuni tu wakati mwingne utawasikia naenda moshi kumbe anaenda same😃
 
Milima ilioko maeneo ya pare safu zake zinaitwa milima ya upare ndio maana wanasema wanaenda upareni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…