Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Kipindi cha sikukuu ya EidMji wa pale Usangi,kipindi hiki panachangamka sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipindi cha sikukuu ya EidMji wa pale Usangi,kipindi hiki panachangamka sana.
Muongo wewe, sasa niko Dar namwambiaje kuwa naenda Chome wakati ninayemwambia hajui lolote. Sisi tunasema tunaenda upareni au milimani, hutaki acha!Huwa hawataki kutaja hasa maeneo waliyotoka, yaani Chome, Mwanga, Ugweno na Usangi.
Ukiwauliza wanasema kwao Moshi [emoji23]
Kwanini usiseme Same au Mwanga ikiwa ndiko unakoshukia na ndipo Nyumbani?Muongo wewe, sasa niko Dar namwambiaje kuwa naenda Chome wakati ninayemwambia hajui lolote. Sisi tunasema tunaenda upareni au milimani, hutaki acha!
Hapana sipo huko
Wewe unaumia nini mimi kusema naenda upareni? Mwanga/Same ni makao makuu ya wilaya, nikisema naenda upareni namaanisha kuwa napandisha mlimani. Actually mtu akiniuliza huwa nasema naenda mlimani.Kwanini usiseme Same au Mwanga ikiwa ndiko unakoshukia na ndipo Nyumbani?
Ni ishara ya umoja, yaani wapare wote ni ndugu na wapo sawa.tofauti na mchaga wa marangu anamdharau mkishumundu.hoja yangu ni hii.Kwa iyo kumbe ni swaga tu... Me nikadhani labda kunansababu maalum
Sent from my SO-01K using JamiiForums mobile app
Tutonge yaani katonge ka ugali kadooogo.Jamaa alitania tu kwamba aina ile ya matiti yanaitwa hivyo... Ss sikujua tutonge maana yake nn...
Sent from my SO-01K using JamiiForums mobile app
Uko sahihi,mfano kwetu ni upareni ila babu alinunua ardhi Moshi town huko,kwa hiyo Mimi nipo Mara 2,moshi na upareniNi mkoa huo huo haina shida wapare wengi ndiyo waliajazana huko Moshi
Mkuu hata Ambiele Kiviele hajapinga mkuu na nimeona ame like😂
Kuna Wapare wengi sana Moshi hasa maeneo ya mabogini hadi KaheUko sahihi,mfano kwetu ni upareni ila babu alinunua ardhi Moshi town huko,kwa hiyo Mimi nipo Mara 2,moshi na upareni
Huko ndio karibu na home sasa, bila ule msitu sisi ni bure kabisa, source ya maji, mvua na hali ya hewa nzuri.Msitu wa shengena vipi?
Nasikia ndani yake kuna mauza uza sanaHuko ndio karibu na home sasa, bila ule msitu sisi ni bure kabisa, source ya maji, mvua na hali ya hewa nzuri.
Misitu yote ya asili inakuwa na mauzauza tu mkuu, mbona kuna barabara ya magari inakatisha huko ndani kabisa, sema ukipita lazima nywele zisimame😁Nasikia ndani yake kuna mauza uza sana
Yeah, ukienda home ukakutana na wale wazee utapata dawa ya kila ugonjwa. Moneytalk bado hajakubali?
hahahaa
usiniuze basi kaka anguYeah, ukienda home ukakutana na wale wazee utapata dawa ya kila ugonjwa. Moneytalk bado hajakubali?
Kumbe Msuya ni majina ya kipare! Niliwahi kuwa na demu ana huo ubini kiukweli alikuwa na weusi flani mlaini mzuri sana. Hongereni wadada wa kipare binafsi mna nafasi special sana moyoni mwanguHuwa wanaenda kutambika kwa Mungu wao yuko huko mlimani.
Pia wanaenda kuongezea uchawi, wapare wote 🤣 ni wachawi eti wawe kama Msuya japo zamani walitaka wawe kama mengi.
Mpare anayebisha aje na mbuzi nimpe ushahidi.
Hivi dada hutaki nipate shemeji kweli?usiniuze basi kaka angu