Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
[emoji23]Hivi dada hutaki nipate shemeji kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23]Hivi dada hutaki nipate shemeji kweli?
Iyee vetesha kigheri kugaya mburi ja vantu vangi kwani vuagha misi ii hena kini cha ajabu.Hela mzunguko ni wa vwasi chebakie iki ni ngazo du (pride)Moshini,uhayani,ungonini,Usangini,sameni,ugwenoni umeona hayo matamshi yana ladha yeyote?.Na ujue Usangi,same,ugweno hawa wote wanatumia lugha moja.Ni matamshi tu tushighe vundu tweikae chekuwaja ni kini.Kakicha chakuwaja shagha chupa unywe.
Hao wachaga wana mini cha ajabu cha kutufanya tujipendekeze kwao?Actual kama kusoma hata sisi tumesoma Wilaya ya Mwanga IPO kwenye Wilaya kumi bora zilizotoa ma Profesa nchi hii!Wanajipendekezaga kwa wachaga, wanasemaga 'naenda moshi'
Ni wapi TZ hakuna ushirikina hao wachaga wenyewe Sikh hizi moto!Wapare na wasambaa ni ndugu, ushirikina ni sehemu ya maisha yao
unaye tayariHivi dada hutaki nipate shemeji kweli?
kaka mkubwa tia neno hapa[emoji23]
Hakuna mchaga alishapigana na hao vishoiaMimi ni mpare og kwa baba na mama na mke wangu ni mpare binafsi naona neno upare kwanza sio lakwetu sisi tunaitwa VAATHU na lugha yetu inaitwa CHATHU na wala sio wapare / kipare nooooo.
Hilo neno lilitokana na vita baina yetu na wachaga ndio likatokea neno mpare yani mpige na hii vita kama sio wachaga kutu outnumber tungewashinda kwasababu waathu ni mahiri katika vita pia. Kama hujui muulize mkuu wa wavaa suti wasasahivi Bwana Diwani.
Duh... Umekichapa kile cha juu kabisa kule kileleni[emoji23]Iyee vetesha kigheri kugaya mburi ja vantu vangi kwani vuagha misi ii hena kini cha ajabu.Hela mzunguko ni wa vwasi chebakie iki ni ngazo du (pride)
Kuna mmachame mmoja wa pale majengo anapenda sana hili neno "kishoia"Hakuna mchaga alishapigana na hao vishoia
Wachaga wa town ndo usiseme asee.... Wanaloga kisede yan... Machalii wadogooo na yale "masendo" yao yale[emoji23] ingawa skuizi wanavaa sana kadet na modoNi wapi TZ hakuna ushirikina hao wachaga wenyewe Sikh hizi moto!
Aah basi tena!unaye tayari
Yule sio mpare ni mkaguru na jina lake halisi anaitwa Emmanuel ila bosi wake aliemtoa kwao kibaigwa ndie mpare anaitwa kadege ,,,,ila wengi wamezoea kumuita mshana kwasababu ndivyo alivyoandika dukani kwake huyo mzee kadege sasa mzee kadege alipomchukua Emanuel dhumuni amsaidie kazi za shamba baadae akaja kugundua kuwa Emmanuel huwa wakati wa baridi huwa anashikwa sana na pumu sasa kutokana na mzee kadege kumpenda sana Emanuel akaamua amuweke dukani hapo ndipo jina la mshana likaanza kutrend kwasababu wengi walijua mzee kadege ni baba yake......kwasasa Emmanuel ni dalali hapo tandika double cabin na hapo anatambulika kama kalulu japo sijajua hili jina kalipataje ila jamaa ninachomsifu ni muaminifu mno
Wabongo wape picha tuYule sio mpare ni mkaguru na jina lake halisi anaitwa Emmanuel ila bosi wake aliemtoa kwao kibaigwa ndie mpare anaitwa kadege ,,,,ila wengi wamezoea kumuita mshana kwasababu ndivyo alivyoandika dukani kwake huyo mzee kadege sasa mzee kadege alipomchukua Emanuel dhumuni amsaidie kazi za shamba baadae akaja kugundua kuwa Emmanuel huwa wakati wa baridi huwa anashikwa sana na pumu sasa kutokana na mzee kadege kumpenda sana Emanuel akaamua amuweke dukani hapo ndipo jina la mshana likaanza kutrend kwasababu wengi walijua mzee kadege ni baba yake......kwasasa Emmanuel ni dalali hapo tandika double cabin na hapo anatambulika kama kalulu japo sijajua hili jina kalipataje ila jamaa ninachomsifu ni muaminifu mno
Ila huyo sio mimi... Mimi nilikuwa nafanya kazi mochwariYule sio mpare ni mkaguru na jina lake halisi anaitwa Emmanuel ila bosi wake aliemtoa kwao kibaigwa ndie mpare anaitwa kadege ,,,,ila wengi wamezoea kumuita mshana kwasababu ndivyo alivyoandika dukani kwake huyo mzee kadege sasa mzee kadege alipomchukua Emanuel dhumuni amsaidie kazi za shamba baadae akaja kugundua kuwa Emmanuel huwa wakati wa baridi huwa anashikwa sana na pumu sasa kutokana na mzee kadege kumpenda sana Emanuel akaamua amuweke dukani hapo ndipo jina la mshana likaanza kutrend kwasababu wengi walijua mzee kadege ni baba yake......kwasasa Emmanuel ni dalali hapo tandika double cabin na hapo anatambulika kama kalulu japo sijajua hili jina kalipataje ila jamaa ninachomsifu ni muaminifu mno
Ukikuta mganga anaitwa masawe au mushi ujue ni tapeli, ila mnzava, mndeme, shemahonge, mhando, mshana (hata humu tunaye) kuwa mganga wa kienyeji ni common, I stand to be correctedNi wapi TZ hakuna ushirikina hao wachaga wenyewe Sikh hizi moto!
mshana (hata humu tunaye)[emoji23]Ukikuta mganga anaitwa masawe au mushi ujue ni tapeli, ila mnzava, mndeme, shemahonge, mhando, mshana (hata humu tunaye) kuwa mganga wa kienyeji ni common, I stand to be corrected
Mimi ni mpare og kwa baba na mama na mke wangu ni mpare binafsi naona neno upare kwanza sio lakwetu sisi tunaitwa VAATHU na lugha yetu inaitwa CHATHU na wala sio wapare / kipare nooooo.
Hilo neno lilitokana na vita baina yetu na wachaga ndio likatokea neno mpare yani mpige na hii vita kama sio wachaga kutu outnumber tungewashinda kwasababu waathu ni mahiri katika vita pia. Kama hujui muulize mkuu wa wavaa suti wasasahivi Bwana Diwani.
maelezo yako sio ya kweli. kabla ya uhuru wilaya ya Pare [ Same + Mwanga] ilikuwa sehemu ya Tanga Province. Majimbo yalipovunjwa na mikoa kuanzishwa ndipo wilaya ya Pare ikakatwa na kupelekwa kuanzisha mkoa wa Kilimanjaro. Pia hakuna Mangi aliyedai nchi au taifa la Wachaga. Madai hayo ni fitina za kuwatenga Wachaga.1.Unamkumbuka yule Mangi alikuwa anatoa habari za siri za watawala wenzake kwa Wajerumani ili watawaliwe yeye apewe silaha 2.Unamkumbuka yule Mangi namuhifadhi alikuwa nia yake Moshi ijitawale iwe nchi ya pekee kama ilivyo Lesotho ndani ya Africa Kusini? Na hata karibia kupata uhuru kulikuwa na bendera ya Wachaga na wimbo wao wa taifa Nyerere akasema hawezi dai uhuru kwa Tanganyika nzima hadi hiyo bendera ishuke.Yule Mangi akaingizwa TANU na Nyerere nguvu zikamuishia hapo.
Wapare walivyoona hawa jamaa zao sio wa kuaminika wakaamua kukimbilia milimani
ni utamaduni wetu toka kwa mababu kuamua migogoro, au mambo ya kijamii, kwa njia ya mashauriano. hata wakoloni walipofika ktk ardhi ya Wapare kitu kimoja kilichowashangaza ni huo utamaduni unaofanana na mahakama wa kuamua masuala mbalimbali yanayoihusu jamii. kwa kawaida na kwa asili yetu Wapare ni watu wapenda haki, na wanaochukia dhuluma dhidi yao, au dhidi ya mwingine.Wanapenda sana kesi
Una mavi. Moshi na wapare wapi na wapi. Wenyewe wanajua kwao wapi.