Wapare mara nyingi wakienda kwao husema wanaenda Upareni

Moshini,uhayani,ungonini,Usangini,sameni,ugwenoni umeona hayo matamshi yana ladha yeyote?.Na ujue Usangi,same,ugweno hawa wote wanatumia lugha moja.Ni matamshi tu tushighe vundu tweikae chekuwaja ni kini.Kakicha chakuwaja shagha chupa unywe.
Iyee vetesha kigheri kugaya mburi ja vantu vangi kwani vuagha misi ii hena kini cha ajabu.Hela mzunguko ni wa vwasi chebakie iki ni ngazo du (pride)
 
Wanajipendekezaga kwa wachaga, wanasemaga 'naenda moshi'
Hao wachaga wana mini cha ajabu cha kutufanya tujipendekeze kwao?Actual kama kusoma hata sisi tumesoma Wilaya ya Mwanga IPO kwenye Wilaya kumi bora zilizotoa ma Profesa nchi hii!
Hiyo Moshi yenyewe imeshaathiriwa na mabadiliko ya tabia ya nchi hakuna lolote Sikh hizi.Wenyewe wanakimbilia mikoa mingine MF Mwanza,Shinyanga n.k Msituletee hizoo bwana!
 
Hakuna mchaga alishapigana na hao vishoia
 
Kumbe yule jamaa sio mpare??

Sent from my SO-01K using JamiiForums mobile app
Yule sio mpare ni mkaguru na jina lake halisi anaitwa Emmanuel ila bosi wake aliemtoa kwao kibaigwa ndie mpare anaitwa kadege ,,,,ila wengi wamezoea kumuita mshana kwasababu ndivyo alivyoandika dukani kwake huyo mzee kadege sasa mzee kadege alipomchukua Emanuel dhumuni amsaidie kazi za shamba baadae akaja kugundua kuwa Emmanuel huwa wakati wa baridi huwa anashikwa sana na pumu sasa kutokana na mzee kadege kumpenda sana Emanuel akaamua amuweke dukani hapo ndipo jina la mshana likaanza kutrend kwasababu wengi walijua mzee kadege ni baba yake......kwasasa Emmanuel ni dalali hapo tandika double cabin na hapo anatambulika kama kalulu japo sijajua hili jina kalipataje ila jamaa ninachomsifu ni muaminifu mno
 
Wabongo wape picha tu
 
Ila huyo sio mimi... Mimi nilikuwa nafanya kazi mochwari
 
Ukikuta mganga anaitwa masawe au mushi ujue ni tapeli, ila mnzava, mndeme, shemahonge, mhando, mshana (hata humu tunaye) kuwa mganga wa kienyeji ni common, I stand to be corrected
mshana (hata humu tunaye)[emoji23]
 

kabila letu ni Vaathu/ Vaasu, au Vamp'hare; lugha ni Chasu / Chathu. pia kabla ya kuwa jamii iliyounganika kama kabila, Wapare walikuwa jamii ndogondogo zenye asili ya makabila mengi kama Wakamba, Wataita, Wazigua, Wagweno, Wachaga, n.k.

Hakuna jamii / koo ya Wapare ambao waliwahi kupigana vita na Wachaga. In fact kuna koo za Wapare ambao kazi yao ilikuwa kutengeneza silaha zinazotumika katika vita baina ya jamii za Wachaga. Wapare kuishi milimani sababu yake ni kukimbia magonjwa toka maeneo ya tambarare, na kujilinda kutokana na mashambulizi toka kwa jamii nyingine haswa Wamaasai / Wakwavi, na Wazigua.
 
maelezo yako sio ya kweli. kabla ya uhuru wilaya ya Pare [ Same + Mwanga] ilikuwa sehemu ya Tanga Province. Majimbo yalipovunjwa na mikoa kuanzishwa ndipo wilaya ya Pare ikakatwa na kupelekwa kuanzisha mkoa wa Kilimanjaro. Pia hakuna Mangi aliyedai nchi au taifa la Wachaga. Madai hayo ni fitina za kuwatenga Wachaga.
 
Wanapenda sana kesi
ni utamaduni wetu toka kwa mababu kuamua migogoro, au mambo ya kijamii, kwa njia ya mashauriano. hata wakoloni walipofika ktk ardhi ya Wapare kitu kimoja kilichowashangaza ni huo utamaduni unaofanana na mahakama wa kuamua masuala mbalimbali yanayoihusu jamii. kwa kawaida na kwa asili yetu Wapare ni watu wapenda haki, na wanaochukia dhuluma dhidi yao, au dhidi ya mwingine.
 
Una mavi. Moshi na wapare wapi na wapi. Wenyewe wanajua kwao wapi.

mpare anaweza kuishi katika jamii ya wachaga na ku'survive. jamii zingine zinawaogopa wachaga na kuwaona wabaguzi kwamba hakuna uwezekano wa mhamiaji kufanikiwa kibiashara au kimaisha ktk ardhi ya wachaga. mpare yeye anahamia popote pale moshi, arusha, tanga, d'salaam, morogoro,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…