Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moshi ni makao makuu ya Mkoa Wa Kilimanjaro.Watu wa makabila mbali mbali walioko mijini ama mbali na nyumbani (sehemu ya asili yao) mara nyingi wakitaka kusema wanarudi kwao watataja jina husika la mji ama sehem anayotoka... Mfano kwa mchaga atasema naenda moshi... Muhaya atasema naenda bukoba, mngoni atasema ashuka zake songea nk.
Ila inanishangaza kwa wapare... Mara nyingi sana utaskia naenda upareni... Au atamuuliza mtu "hivi lini unapandisha upareni" na wakati wana sehem zao km usangi, ugweno, chome, same nk...
Ni mazoea ama kuna sababu maalum?
View attachment 2443480
KwendraaaHawa wanatani zangu wanawaza makande tu wanajihisi wakisema upareni wanavuta hisia za makande na samaki kwa ukaribu zaid.
Nethina mburiiiKwendraaa
Aaah hawa jamaa ni kama wote tu wachawi,,,,tena wale wa kushindia makanisani ndo shida zaidiHuwa wanaenda kutambika kwa Mungu wao yuko huko mlimani.
Pia wanaenda kuongezea uchawi, wapare wote 🤣 ni wachawi eti wawe kama Msuya japo zamani walitaka wawe kama mengi.
Mpare anayebisha aje na mbuzi nimpe ushahidi.
Una mavi. Moshi na wapare wapi na wapi. Wenyewe wanajua kwao wapi.Moshi Kuna wapare ndo kwao kabisa
mixer muiraqUtakuwa mpare Money🤣
Utakuwa kisu sanaamixer muiraq
Hahaha, kazi imeanza. Nitamuita Patience sasa hivi.
Mkui mbona unakuwa mnoko?😄Hahaha, kazi imeanza. Nitamuita Patience sasa hivi.
Umemchoka mtani wangu, sasa unarukia kwa dada yangu. Nakulima block mkuu [emoji16]Mkui mbona unakuwa mnoko?[emoji1]
Alishaniacha kitambo mkuu endelea naye😂Umemchoka mtani wangu, sasa unarukia kwa dada yangu. Nakulima block mkuu [emoji16]
kaka angu ananijali bana
mpige blockUmemchoka mtani wangu, sasa unarukia kwa dada yangu. Nakulima block mkuu [emoji16]
Nafurahi kusikia hilokaka angu ananijali bana